Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unafikiri mimi ni kama wewe unayelipwa Na sisiemu kutrol wakenya hapa ndani? Wengine wetu tuko na kazi za kufanya, sio kushinda humu ndani usiku na mchana
Daaah aseee.
Ungejua basi wengine sisi wafanya biashara tu kaz tumewapa watu wazifanye.
Asa mm nifanye kaz yann eti???
Halafu mm ni mjasiriamali ambae bado anasoma.
It means nipo likizo ya chuo kikuu cha afya wacha nijiachie.Likizo ikiisha nikirudi chuo mambo yatawa mengi hamnion humu ww km umeajiriwa mpendwa fanya kaz za watu wasije kula dodo hilo unalipwa halafu kaz hufanyi.

Halafu mpendwa mm nipo sawa chama cha siasa na nataka kujiandikisha kuwa mwanachama wa siasa lakn sio CCM na wala sipo hapa kuitrol Kenya.
Nyie mwapenda kuanzisha trolling lakin mkizidiwa mnakimbilia kusema Sisi makada wa CCM tumelipwa tuje kuwachefua.
Usikute Magufuli hatta hajui kuhusu JF.
Achen kumpakazia urongo mzee wa watu na CCM ya watu mpendwa Yesu anakuona.
 
pamoja na mahitaji mengi yanahitajika Tanzania, napenda sana kuona Tanzania ina viwanja vya mpira vya kisasa. Huwa nawazaga yafuatayo mawil yafanyike

1. siku NSSSF washirikiane na serikali kujenga uwanja wa mpira wa kisasa mkoani Morogoro. Morogoro is a gate route from Dar to Dodoma and other regions (business route). Dar na Dodoma (to be built) tayar kuna viwanja vya kisasa, so wapenda mpira ni rahis kumove btn these three regions for football recreation. Morogoro pia itapita train ya umeme

2. Tanzania National Parks ishirikiane na serikali kujenga Olympic Stadium mkoani Arusha. Si lazima michezo yote ya olympics iwepo lakini iwepo ile itayoweza kuwa occupied ndan ya uwanja mkubwa. Arusha ni mkoa wa kitalii na National Parks inahusika na utalii (nadhan umeelewa lengo nilalotaka kusema, nisiende mbal sana).... pia uwanja huu tutaweza kuutumia kwa mashindano ya olympics kwa East Africa, SADC au Afrika nzima (thou sijui taratibu za michezo ya olympics). Na kwakuwa uwanja huu utakuwa na space ya michezo mingi, bas wachezaji wetu wataweza kuutumia huu uwanja kwa maandaliz ya michezo mikubwa huko Ulaya au USA kama
• tennis,
• sprint,
• track running or combined running,
• kuna ule mchezo wa kuruka kweny mchanga,
• kuna ule mchezo wa kurusha vitu vizito
• kuna ile michezo ya kurusha mishale
• kuna ile michezo ya kuruka juu ya poles kubwa na kudondokea vitandani
• indoor diving or swimming ,
• jumping or horse riding
• na michezo mengine mingi tu pamoja inayohusisha walemavu

tanzania hatuna viwanja vingi vya michezo hivyo huu wa olympics (i wish ujengwe) utakuwa kama sport center ya michezo yote in one place.

NI MAWAZO TU 🤣
 
NI MAWAZO TU
mkuu umenena jambo zuri sana .....naomba wahusika walipitie hili nakulizingatia
 
hakika, thou hio ni comment na sio uzi (thread).. naona vigumu wahusika kuipitia..

either someone aanzishe thread kuongelea ishu kama hizo.. au wale waanzishaji uzi au wahusika watagiwe (TAG) ili waione... we can do whatever ili wahusika wapitie. Thou all in all hayo ni mawazo tu
 
We fala hukujua mm nini namaanisha kaa kimya.
Huna cha kunifundisha kwasababu umekurupukia post haikuhusu kaa kimya.
Huna cha kunifundisha wewe.
Hiyo Gdp per capita haihusian na provision of social services wala hyo Nominal GDP ppp haihusiani na provision of social well-being kuku ww.
Maji safi,Shule,mahospitali huduma za kijamii zote na maendeleo mengine ya uchumi km miundombinu huchagizwa na mapato ya serikali sio GDP FALA ww.
Continued portrayal of your ignorance. I choose to remain silent on this.
 
World Bank gives USD 16 mln for construction of ICT academy in Tanzania

ICT experts from the US-based Massachusetts Institute of Technology (MIT) have already promised to share their expertise with the centre's students and trainers.
 
Grants kama kawa
 
Back
Top Bottom