Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

such ugly aerial view can never be in The world class city of NAIROBI.....5th world tanganyika....these are the middle class of tanganyika View attachment 2657831View attachment 2657832
Wewe nyagau mbona msahaulifu sana? Yaani kwa maana hiyo unataka kutuaminisha kuwa pipeline, kibera na mathare ndio zinaweza kuwepo kwenye world class city sio!!!!
 
This one I agree…… though I wasn’t feeling UDA during the elections, i believe in democracy… the guy won… let him execute his policy… if he fails, he will meet his Waterloo in 2027…. Period!
Akili ya kitumwa hiyo why waterloo and not mau mau? Who knows Waterloo or how many audiences in Africa know about Waterloo? Mambo ya wazungu waachie wao wenyewe hayatuhusu huku.
 
wewe umebweka hapa na ujinga tushakuzoea......ukweli wa Baba levo inawauma kama nge.......poor tanganyikan....sasa mkitoa GDP ya zanzibar mnabaki hoi bin hoi.....hiyo nchi yenu ya uswazi vijiweni muwache kulinganisha na The America of Africa aka Kenya
Uniambie mm sehemu gani sijafika kenya ?? Mm turkana na lamu ndio sijafika ila kwengine kote nimefika na huna cha kunidanganya hapa 😅😅😅😅 sasa huyo huyo baba levo alisema yuko tayar kumzalia diamond utasema akili zimo humo

Zanzibar ni sehemu ya tanzania najua hua inawauma lakini vumilieni kama vile mombasa ni sehemu ya kenya 😅😅😅

America of africa ambayo mzungu anatoka kwao anakuja kushangaa slum hajawah kuiona kwenye maisha yake yani slum zenu nikama tourism kwa wazungu 😅😅😅
 
Kenyan economy USD USD 80bn madeni. Uchumi halisi wa Kenya haufiki hata USD 30bn simple mathematics sasa sijui unaongelea uchumi gani hapa.
107b alaf over 80% ni debt to GDP ratio yani nchi haina hata uwezo wakulipa mishahara ya watu kwa wakati 😅😅😅😅

Haina uwezo hata kujenga 1km of SGR alaf muko hapa kupiga kelele 😅😅😅

Screenshot_20230615-084058.png
 
Wewe nyagau mbona msahaulifu sana? Yaani kwa maana hiyo unataka kutuaminisha kuwa pipeline, kibera na mathare ndio zinaweza kuwepo kwenye world class city sio!!!!
Unalinganishaje pipeline na huo uswazi wenu, wewe ni mwendawazimu
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣…. Please don’t kill yourself… we might miss you…🤣🤣… or should I buy you a rope?..🤣🤣 btw stop dragging Ketepa into your childish wining… I love their Kenyan tea …. The best in the word….
You got to love the job that sustain your existence of course 😅😅😅
 
Back
Top Bottom