Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio mulivojidanganya au nikuoneshe mmliliki wa sport pesa ni nani ??πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

HQ iko liverpool sport pesa mali ya watu bado munajinadi ni yenu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ndio maana technology kila siku inawaumbua

Si yaleyale yakusema DTB ni mali ya kenya wakat mali ya agakhan πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Screenshot_20230613_223449.jpg

Ni uchungu lakini vumilia
 
Hakuna uwazi, unajuwa kilichosainiwa MOU feb 28 2022, kwenye Dubai expo? Unajua kilichosainiwa Oct '22 na serikali. Mbona walikaa kimya hawakutueleza kuhusu DP World mpaka taarifa zilipovuja ndo wanajibaraguza kujidai kutaka kujadiliwa bungeni.
Mkuu, uwazi upi unaoutaka?. Hakuna nchi yoyote Ile duniani ambayo Kila inachokifanya katika utendaji wake wa Kila siku lazima izungumze kwa wananchi. Mkuu kila siku wizara zinaingia mikataba mingi Sana karibia Kila siku mikataba mbalimbali inasainiwa. Kama Kila mkataba lazima serikali isema kwa wananchi wote basi hakuna kazi yoyote itakayofanyika nchini, nchi hii tutakua kazi yetu ni taharuki na mijadala kuanzia asubuhi hadi jioni kuhusu mikataba.

Mkuu, kazi ya serikali chini ya rais aliyechaguliwa na sisi wote, ni kuingia mikataba kwa niaba yetu Ili sisi tuendelee na kazi zingine, yeye na wasaidizi wake hawaendi shamba Wala kufanya kazi zingine, kazi zao wao ni hizo za kuingia mikataba kwa niaba yetu tukiamini kwamba wanafanya hivyo kwa mujibu wa maslahi, taratibu na mamlaka waliyokabidhiwa kikatiba ya nchi yetu.

Bunge ndilo lenye jukumu la kuisimamia serikali endapo itakengeuka jinsi ya kuingia mikataba hiyo, serikali inapaswa kuomba kibali toka bungeni pale inapotaka kuingia mikataba mikubwa Kama huu wa DPW, lakini mikataba mengine mingi, serikali haiwajibiki kulishauri bunge, hiyo ipo chini ya uwezo wao, ni sehemu ya kazi zao.

Kwa mfano SSH alipokwenda ufaransa, aliingia mkataba na kampuni Ili kuja kukarabati uwanja wa ndege Dar "terminal ll", bila hata kushauri bunge, au mikataba ya Air France kuja Dar, au mikataba ya Ujenzi wa Meli na kampuni la Korea.

Huu mkataba wa DPW ni mkataba mkubwa, ndio sababu serikali ilipaswa kuomba bunge liridhie. Kawaida kabla bunge alijaanza vikao vyake, serikali uwapelekea wabunge nakala ya kile ambacho wanataka wabunge wakiridhie, Ili wakijue mapema Ili waweze kuwashirikisha wapiga kura wao Ili wajue na kutoa maoni Yao.

Hizi nakala zikiwafikia wabunge, lazima wazungumze na wananchi wao Ili kuomba ushauri, hapo ndipo taarifa zilipoanza kuenea na kusababishia taharuki, sio kweli kwamba kulikua na usiri hadi wananchi waliposikia na kupiga kelele.

Tatizo ni uelewa mdogo wa wananchi jinsi serikali na bunge vinavyofanya kazi katika kushughulikia mambo haya ya mikataba.

Wewe kwa akili yako unadhani kwamba ni kelele za wananchi ndizo zilizosababisha kwa huu mkataba kupelekwa bungeni, wakati ni kinyume chake. Kitendo Cha mkataba kupelekwa bungeni ndicho kilichosababisha wananchi kujua na kuanza kupiga kelele.
 
Vifaa si vinanunuliwa tuu? Gharama za kununua vifaa siyo sawa na gharama za kuwapa DP World mkataba usio na kikomo. Ikitokea vita na wao wakashirikiana na adui kutuhujumu kupitia bandari utajuwa?

Nchi kama Uingereza wamefanya ubia na DP World kwenye vigati vichache tuu, siyo bandari nzima, huu ni ujuha. Hao jamaa mikataba yao mingi ni ya rushwa, nchi nyingi teyari zimewapeleka mahakamani.
Mkataba uliojadiliwa bungeni ni kati ya nchi na nchi kwenye ushirikiano kwa maeneo tajwa. Mkataba utakaofuata ni kati ya DP World na TPA ambao utakuwa na vipengele vyenye kuainisha tunakabidhi nini na kwa muda gani. Ila nilivyosikia ni DSM port gati 1-4 general cargo na gati 5-7 container terminal. Gati ya passengers, RORO na gati 8 -13 including ya mafuta hazihusiki na DP World
 
Mkuu, kitendo Cha kuweka screenshot ni dalili kwamba kuna kitu unaficha, weka link tusome kinachoendelea.

Ukweli ni kwamba hii kesi haihusiani kabisa na DPW, hii ni "personal". Huyu dada alikua mfanyakazi wa DPW lakini inaonekana pia anahusika na mambo ya Ujenzi. DPW haijashitakiwa kama kampuni, ila huyu dada kama mtu binafsi, ndio sababu amefungwa yeye Kama yeye. Kampuni halifungwi ila linafukuzwa nchini na kulipa fidia, au kufutiwa leseni.

Mkuu, tuonyesha wapi DPW Kama kampuni limeshitakiwa na serikali au kampuni lingine kwa kitendo Cha kutoa au kupokea rushwa Ili DPW wapate kazi ktk nchi yoyote hapa duniani. Mkuu sisi ni watu wazima na wasomi, tafadhali tuonyeshe ukomavu katika mijadala yetu.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Habari za alshabab huwa zinakupa nyege Sana ausio
Kwasababu mumeshindwa kuwadhibiti kuingia nchini kwenu kufanya mashambulizi ambalo ndilo lilikua lengo kuu la KDF kwenda Somalia, Kumbuka kabla ya KDF kwenda Somalia, wanajeshi wa KDF na raia wa Kenya walikua hawauliwi na Alshabaab. KDF is very weak.
 
Back
Top Bottom