Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unafahamu hawa DP world nchi ngapi wamepelekwa mahakamani kwa kutoa rushwa ili wapate mkataba?

Hivi Rites ya India ilileta mafanikio gani kwenye shirika letu la reli, zaidi ya kuliua?
Ukisoma post zangu za nyuma utaelewa ninachokiongelea hapa. Sipo hapa kutetea DP-World wala kampuni yoyte ila nipo hapa kusupport mchango wa private sector katika maendeleo ya nchi. Huyo DP-world hawezi kuwa na nguvu hivyo bila kuwa na mikataba mibovu (kutokana na rushwa auserikali kutokuwa na wataalam wabobevu katika nyanja ya interneational negotiations & contract)ambayo ndio inampa yeye hiyo nguvu ya kupelekana mahakamani. Na hicho ndicho kinawafanya watz wengi kushout out na wala siyo uwekezaji kama uwekezaji.
 
Kwasababu mumeshindwa kuwadhibiti kuingia nchini kwenu kufanya mashambulizi ambalo ndilo lilikua lengo kuu la KDF kwenda Somalia, Kumbuka kabla ya KDF kwenda Somalia, wanajeshi wa KDF na raia wa Kenya walikua hawauliwi na Alshabaab. KDF is very weak.
France kila siku inashambuliwa na magaidi hii inamaanisha kwamba Tanzania Ina ulinzi bora kuwaliko. Lengo la KDF ilikua Ku stabilize serikali ya Somalia ambayo ilikua imekataa tamaa na tulifaulu. Hao magaidi waliobakia ni wa kutoka Tanzania kuna video waliachilia na wengi wanaonge kiswahili cha tz
 
Nimecheka sana "this is next level"🤣🤣🤣
IMG_20230614_122509.jpg
 
Wewe umezaliwa meaka gani? Unajua kilichopelekea hivyo viwanda kufa?

Wewe utakuwa umezaliwa 1990s kama ulizaliwa before 1980, then unamatatizo na shule.
Mkuu, nikweli mimi nimezaliwa 1989, lakini nimefuatilia Sana mambo haya, sababu kubwa ya kufa kwa mashirika ya umma ni;
1)Uzembe na kutokuwepo kwa uwajibikaji
2)Rushwa
3)Kukosekana na mitaji
4)Makampuni kupata hasara kutokana na kutokujirndesha kibiashara na kutogemea ruzuku
5)Serikali kutokua na wataalamu wenye ujuzi kuweza kuhimili ushindani
4)Wanasiasa kuingilia shughuli za utendani
5)Ajira kutolewa kwa upendeleo
6)Mabadiliko ya Teknolojia.

Haya ni miongoni mwa mambo yalitosababisha mashirika ya umma kushindwa kufanya kazi na kubinafsisha.

Hizi sababu bado zipo hadi kei, ndio sababu Hadi Sasa hakuna Shirika lolote ambalo linaendeshwa na serikali by 100% ambalo linatengeneza faida.

Haya nijulishe wewe, sababu zipi zilizosababisha mashirika ya umma kushindwa kujiendesha kwa faida?
 
France kila siku inashambuliwa na magaidi hii inamaanisha kwamba Tanzania Ina ulinzi bora kuwaliko. Lengo la KDF ilikua Ku stabilize serikali ya Somalia ambayo ilikua imekataa tamaa na tulifaulu. Hao magaidi waliobakia ni wa kutoka Tanzania kuna video waliachilia na wengi wanaonge kiswahili cha tz
Hahahaha, sababu ya KDF kwenda Somalia ilikua ni kwenda kusaidia kurudisha Serikali ya Somali,.

Sababu ilikua ni kwenda Somalia Ili kuzuia Alshabaab kuvuka na kuingia Kenya na kuteka watalii na kuomba fidia kabla ya kuwaachia.

Sekta ya utalii ilianza kuharibika kutokana na watalii kutekwa. KDF ilikwenda Ili kutengeneza "buffer zone", matokeo yake ndio tatizo limekua kubwa zaidi. Hivi kweli ni akili gani kwenda kusaidia serikali ya nchi jirani lakini unashindwa kulinda raia wako?

Eti naanza kuelewa, mimi naelewa tangu kitambo kuwa Samia hana uwezo wa kwakua hana utashi. Na pia najua kitambo kuwa serikali ya Samia imejaa matapeli wengi mno ndio maana tangu imeingia madarakani hatukuacha kuipinga.

Wewe ndio huna ujualo zaidi ya kufuata upepo. Eti bunge,

1. unajua kuna watu wame risk maisha yao kwa kuvujisha ule mkataba? Unafikiri ungeenda bungeji hila hivyo?

2. Kule Dubai wamesign mikataba kibao, hiyo mingine mbona haijadiliwi bungeni? Huu umejadiliwa, sio umejadiliwa, yaani wamefunika kombe kwa aibu kwakua umevuja.

Kama kuelewa, nitaanza kuelewa wakianika mikataba waliosign Dubai. We are not kids, brother. Sisi tumeelimika na tunajua nini tunapigania, tupo kwenye harakati kitambo. Hapa ni Geza tunajuana tango 20006/7 kama sikosei, hatujaanza huku JF.
Tatizo ni uelewa mdogo wa wananchi jinsi serikali na bunge vinavyofanya kazi katika kushughulikia mambo haya ya mikataba.

Wewe kwa akili yako unadhani kwamba ni kelele za wananchi ndizo zilizosababisha kwa huu mkataba kupelekwa bungeni, wakati ni kinyume chake. Kitendo Cha mkataba kupelekwa bungeni ndicho kilichosababisha wananchi kujua na kuanza kupiga kelele.
 
Mkuu, nikweli mimi nimezaliwa 1989, lakini nimefuatilia Sana mambo haya, sababu kubwa ya kufa kwa mashirika ya umma ni;
1)Uzembe na kutokuwepo kwa uwajibikaji
2)Rushwa
3)Kukosekana na mitaji
4)Makampuni kupata hasara kutokana na kutokujirndesha kibiashara na kutogemea ruzuku
5)Serikali kutokua na wataalamu wenye ujuzi kuweza kuhimili ushindani
4)Wanasiasa kuingilia shughuli za utendani
5)Ajira kutolewa kwa upendeleo
6)Mabadiliko ya Teknolojia.

Iko hivi, wakati unazaliwa mashirika hayo yalishakufa yanasubiri tu kuzikwa. Mashirika mengi yalikufa kabla ujazaliwa. Kulikuwa pia na mashirika ya baiskeli: Swala, kulikua na electronics: national kulikua na Gloria Bakeries, UDA, kulikua na maduka tulikua full.

Hakuna hata sababu moja uliorodhesha ni sahihi. Kilichoua mashirika hayo ni matumizi ya fedha kufadhili vita vya ukombozi kusini mwa Africa, Uganda na kwingineko. Vita ya Uganda pekee ilitukost over $1. something billion, bado gharama za kusetup jeshi la Uganda, gharama za uchaguzi Uganda hizi, hela unafikiri zilitoke wapi? Hapo hujaja gharama za kusini mwa Africa.
 
Kitendo Cha mkataba kupelekwa bungeni ndicho kilichosababisha wananchi kujua na kuanza kupiga kelele.
Wewe sio mzima. Bungeni imepelekwa tarehe 6, sisi kitambo Twitter kila mahala tulishaanza kelele muda sana! Mkataba umevuja kitambo na kelele zimeanza kitambo Twitter, Clubhouse.

Nafikiri tuishie hapa maana its a waste of time na energy kulumbana na wewe wakati hata hujui kinachoendelea zaidi ya kusukumwa na imani.

Thanks brother.
 
Iko hivi, wakati unazaliwa mashirika hayo yalishakufa yanasubiri tu kuzikwa. Mashirika mengi yalikufa kabla ujazaliwa. Kulikuwa pia na mashirika ya baiskeli: Swala, kulikua na electronics: national kulikua na Gloria Bakeries, UDA, kulikua na maduka tulikua full.

Hakuna hata sababu moja uliorodhesha ni sahihi. Kilichoua mashirika hayo ni matumizi ya fedha kufadhili vita vya ukombozi kusini mwa Africa, Uganda na kwingineko. Vita ya Uganda pekee ilitukost over $1. something billion, bado gharama za kusetup jeshi la Uganda, gharama za uchaguzi Uganda hizi, hela unafikiri zilitoke wapi? Hapo hujaja gharama za kusini mwa Africa.
Kumbee, kwahiyo hivi Sasa kwasababu hatupigani tunaweza kuendesha mashirika na Makampuni bila wasiwasi wowote?.

Mkuu, kiwanda Cha Cement Cha Mbeya kilikufa mwaka gani, si ni hapa juzi kipindi Cha mkapa?, au hayo madeni yaliyotokana na vita bado yanaendelea kutuandama hadi Leo?.

Shirika la reli na TTCL vilifilisika lini?. Kwahiyo Kama bado hadi leo serikali inashindwa kupata faida katika mashirika yake kutokana na athari za vita vya miaka ya 70s, Sasa lini athari hizo zitakwisha Ili tuweze kuendesha mashirika yetu?, kwasababu hadi Leo TRC, ATCL,NIC na NHC yanapata hasara Kila mwaka.
 
Hahahaha, sababu ya KDF kwenda Somalia ilikua ni kwenda kusaidia kurudisha Serikali ya Somali,.

Sababu ilikua ni kwenda Somalia Ili kuzuia Alshabaab kuvuka na kuingia Kenya na kuteka watalii na kuomba fidia kabla ya kuwaachia.

Sekta ya utalii ilianza kuharibika kutokana na watalii kutekwa. KDF ilikwenda Ili kutengeneza "buffer zone", matokeo yake ndio tatizo limekua kubwa zaidi. Hivi kweli ni akili gani kwenda kusaidia serikali ya nchi jirani lakini unashindwa kulinda raia wako?

Lengo kubwa ni hilo nimekutajia, alshabaab walitaka kutengeneza Islamic caliphate ndani ya Somalia na nusra wafaulu Kama sio juhudi zetu. Hakuna vile tungepakana na nchi ya magaidi, Tanzania inatosha.
Leo Somalia kuna serikali ambayo tuliifufua wenyewe mwaka wa 2009 hapa nairobi. Hao waliobakia ni swala muda.
Buffer zone iko inaitwa jubaland na kiongozi wake ni puppet wetu.
 
Back
Top Bottom