Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtu kaitaja Nakuru City humu.
A glimpse of what it looks like!
Screenshot_2023-06-11-20-12-26-92_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg
Screenshot_2023-06-11-20-13-04-51_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg
Screenshot_2023-06-11-20-13-20-26_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg
Screenshot_2023-06-11-20-13-22-09_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg
Screenshot_2023-06-11-20-13-14-55_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg
Screenshot_2023-06-11-20-13-10-77_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg
Screenshot_2023-06-11-20-12-50-30_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg
 
Aisee kumbe wewe ni katoto kabisa, Yani umemaliza form four mwaka jana, no wonder unaona 2003-2009 ni zamani sanaaaa

Mm ni uncle wako kumbe, anyways, karibu Dar, ofcourse miaka niliyokuwa nasoma mm pale Azania ilikuwa miongoni mwa shule bora hapa Tz ila kwa sasa ni ya kawaida sana, karibu kijana wangu, pia usome sana hii mitandao usiipe kipaumbele sana itakuharibu dogo.


Nimechaguliwa kujiunga na AZANIA SECONDARY SCHOOL A-LEVEL 2023 wanaoijua mnisaidie hapa
Hahahahah! eeh mkuu, nitajitahidi

nimezaliwa 2004, hahahahahahah
 
Tatizo lenu ni kwamba mko docile. Mnapelekwa Kama kondoo, badala kufanya activism kazi yenu ni kushindana Kati ya diamond na Ali kiba nani mkali I
Unataka tuchome maduka ya watu na nyumba za ibada kama nyie mlivyofanya ?
 
waja ubishi wa kifalamanga mshikaji unapoibiwa kuwa tayari kung'amua! Najua hii maneno ndo maana nakuambia hamna refurbishment iliyofanyika kama wanavyodai! Walipiga rangi tu wakaleta! Kuweka charging points na screens za kuonyesha safari na vituo vinavyofuata na pia ku-offer TRC promotions spots ni vitu havikupaswa kuachwa! Na tusisahau WIFI pia!

Zinaitwa Dosto Wagons! Na kama walizikarabati kweli yaani zilifanyiwa refurbishment, basi zinapaswa kukaa hivi!
DB175212_DB_Thomas_Henne.png


csm_Doppelstockwagen_Redesign_RE20_RB22_Oberstock_18a0ce1cea.jpg


201204_moderndoppel_01.jpg


RB_33_960x680_3.jpg


csm_Doppelstockwagen_Redesign_RE20_RB22_Toilette_e74bdf1167.jpg


Kichwa chake kinapaswa kuwa hivi!
DBpbzf_763.5_Remagen.jpg


Kwa hali inavyoenda, sitashangaa tukipokea cha namna hii
2dosto-nsu.jpg


Sasa wewe endelea kubisha kiupuuzi!
Huyo nae ana ubishi wa ajabu sana. Hela nyingi zimepigwa na wakina Kadogosa kwakua wale Eurowagons walitakiwa kuzifanyia marekebisho ziwe kama hizo pichani, walipochelewa na Magufuli kafa, fasta wakachukua tenda na kufanya uhuni wa kuleta wagons ambazo ndani wires zinaning'inia.
 
Back
Top Bottom