Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,758
waja ubishi wa kifalamanga mshikaji unapoibiwa kuwa tayari kung'amua! Najua hii maneno ndo maana nakuambia hamna refurbishment iliyofanyika kama wanavyodai! Walipiga rangi tu wakaleta! Kuweka charging points na screens za kuonyesha safari na vituo vinavyofuata na pia ku-offer TRC promotions spots ni vitu havikupaswa kuachwa! Na tusisahau WIFI pia!Kwenye biashara Kuna kitu kinaitwa "Varieties", wale wenye kupenda amenities watapanda ya Korea, wenye kupenda ya ghorofa watapanda haya ya Ujerumani.
Tungekuwa ni nchi tajiri tungeagiza Yale mapya kutoka Korea yawe ya ghorofa na waweke amenities zote, lakini ni ghali mno, Bora tufanye hii "mixer" ya kienyeji.
Zinaitwa Dosto Wagons! Na kama walizikarabati kweli yaani zilifanyiwa refurbishment, basi zinapaswa kukaa hivi!
Kichwa chake kinapaswa kuwa hivi!
Kwa hali inavyoenda, sitashangaa tukipokea cha namna hii
Sasa wewe endelea kubisha kiupuuzi!

