Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatizo lenu ni kwamba mko docile. Mnapelekwa Kama kondoo, badala kufanya activism kazi yenu ni kushindana Kati ya diamond na Ali kiba nani mkali I
Hivi unajua tofauti kati ya activism and Violance?. Kitendo Cha bunge kuwaka moto hiyo ni dalili ya activism. Kuandamana, kuchoma tairi barabarani, kurusha bomu za kutoa machozi, kuvunjwa kwa maduka na kuvamia mashamba na biashara za watu na watu kuuliwa, hiyo ni" Violance". Only uncivilized people can choose violence over dialogue".
 
Wewe unajua thamani ya hizi behewa zikiwa mpya?, Umelinganisha na gharama za kuzifanyia "refurbishment" vs kuzinunua zikiwa mpya?. Hivi unajua tofauti kati ya "refurbishment na upgrading".

Refurbishment maana yake ni kuzikarabati kurudisha katika hali ya upya wake, sio kuongeza vitu ambavyo havikuwepo. Upgrading ni kuongeza vitu vipya vya kisasa zaidi

Haya mabehewa hayajafanyiwa upgrading, hayawezi kuwa na charging ports.

Geza unakumbuka kwamba zile ndege zetu aina ya Airbus 2 za kwanza hazina screens kwenye viti vyake lakini hizi 2 za mwisho tuliomba ziwekwe TV katika viti?, mbona hakuna utofauti wa nauli kati ya zenye TV na zisizo na TV na hakuna malalamiko?. Hivi buses zote tunazosafiria ziko na charging ports?

Kwako wewe Kama hivyo vitu ni muhimu sana, usipande hizi za ghorofa, uwe unapanda zile za Korea. Mimi binafsi ninachagua kupanda haya ya ghorofa, nilikua nikiyapanda kwa miaka mingi bila charging ports na sijaona kupungukiwa Sana.
Keep ur opinion! Siku hizi unabisha tu ilimradi uonekane unabisha! NIKIKUULIZA model type ya wagon iliyoletwa huwezi kunijibu!
 
Almost 90% of Kenyans Marathon runners have denounced their Kenya citizenships, despite the fact that Kenya allows dual citizenship.
Kenya Inakubali dual citizenship
Huwezi kataliwa kuwa raia wa US ,Canada , Switzerland etc nchi zote zinazokubali.
Mimi pia ni American despite being a Kenyan
Sijadenouced my citizenship as a Kenyan.
Am both
 
Kilimani at Night
20230610_205511.jpg
 
I over heard some Ugandans wondering. They could not believe it. Taking selfies in the penthouses in Kileleshwa. They said "Is this Kenya really? Our people at home should know, this city is way beyond our standards as East Africans "
🤣🤣🤣 Content creators wanaeza andika chochote Ili wapate views Bro
 
a hah ndege Moja ya mzigo itabeba Nini sasa😂
Wee unajua mandege ngapi za mizigo hutua jkia kila siku from London, Amsterdam, Schiphol,Paris etc???
Ndege yetu ya mizigo itaanza kazi mda c mrefu, huu usenge hutouona tena, mnauza fruit mnatoa wapi ikiwa matunda yote mnayatoa Tz, nioneshe mashamba mnayolima.
Ha
 
Comments za wakenya zinakupa orgasm Kali Sana,
Sio comments za Wakenya bali tumewaacha mbali sana kama unabisha tuingie kazini mm na wewe tuoneshane umwamba, oneshe vilivyopo Kenya havipo Tz nikuoneshe vilivyopo Tz havipo Kenya, na ukinishinda naondoka jamiiforums leo hii simple like that.
 
Back
Top Bottom