Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya mpo kweli😅😅😅
20230610_225711.jpg
 
Mkuu, umesema mkataba ni euro 26M jumla, hiyo maana yake ni gharama zote za ununuzi na ukarabati, Kama unahisi Kuna pesa zaidi ya hiyo iliyotolewa, tuambie tujue Ili tulinganishe "value for money". Kama unaijua sababu iliyosababisha mkataba kuvunjwa zaidi ya hiyo iliyotajwa na serikali, tuambie Ili na sisi tulalamike.https://youtu.be/1SjflTcdhac

Mkuu, TV zipo ndani. Kwa uzuri wa mabehewa haya bado unalalamika, ulitakaje?

Hakuna meza,hakuna TV hakuna charging systems,hakuna vichwa🚮 yaani nimemchukia kadogosa aise!
 
Huwezi kujifanya mbabe na una njaa, this love letter Inaonesha namna mashakahola yalivyonywea, cha ajabu ni kwamba hawampersonalize Samia na huu utaratibu kama walivyokua wanafanya kwa JPM it was too much feelings and emotions, mpaka wame attach link kabisa wamekua kama flower girls wa GoT

Hivi Tanzania kuna sector yoyote tunaweza kuletwa on our knees na shakahola kiasi hiki?

Screenshot_20230611-050325.jpg
 
Ninyi mjifunze kujilisha kwanza muondokane na aibu your whole president & minister are begging for exit permission from our deputy minister, hata hivyo mtakua mnashangaa sana watanzania wanajulikana kupenda anasa sana huwakosi kwenye maharusi, burudani, mipira daily lakini bado wanapata muda wa kufanya kazi na kulisha nchi 8 na export kubwa overseas, ninyi ambao hampo kwenye anasa hata kujilisha wenyewe tu shida asa muda wote huwa mna fanya shughuli gani?

Muda wote huwa wanapigana miti tuu ndio maana idadi ya watu ni kubwa hivyo kupelekea upungufu wa chakula
 
Inashangaza kiukweli 😅 na bado percent kubwa ya maisha yao wanayaendesha kwa nguvu ya remittance, ukijiuliza local mashakahola yanafanya kazi ipi zaidi ya kupigana miti mpaka kwenye public parks kama ngedere utaumia ubongo
 
Hakuna meza,hakuna TV hakuna charging systems,hakuna vichwa yaani nimemchukia kadogosa aise!
Mkuu, Kama umeishi Ulaya na kutumia hayo mabehewa ya ghorofa usingemchukia Kadogosa, hivyo yalivyo ndivyo yanavyotengenezwa toka Kiwandani.

Kama unataka kuwekewa hayo unayotaka, unapaswa kotoa "order" Kiwandani utengenezewe mapya na uwekewe vitu utakavyo. Ni sawa na kununua gari "used manual' model 1990 haina "digital dash body", baada ya kukarabatiwa ukataka iwe "Automatic with digital dash body".

Kuhusu meza, Huwa Kuna kuwa na meza mbili katikati, ambapo " opposite seats face each other". Hata kwenye zile behewa za Korea ni hivyo hivyo.

Kwangu mimi, ukilinganisha bei, capacity na design, ninachagua behewa hizi za ghorofa kuliko zile za Korea
 
Wacha kutupeleka refurbishment ingezingatia yaliyokosekana!
 
Okay,nimefatilia ni kweli Huwa hayana TV screen,ila meza kama wataweka itakuwa poa.
 
Back
Top Bottom