Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna madwanzi hapa kwa kuwa tumenyamaza wanadhani hakuna kitu kinaendelea

Hii ni mojawapo ya dams 5 ambazo zipo under construction sasa hivi Kenya kutumika katika irrigation na matumizi ya nyumbani
Hii dam pekee itapeleka maji kwenye households 2m pamoja na kuweka ardhi ekari maelfu under irrigation
View attachment 2649402

Mombasa itakua served na commuter rail kama Nairobi tu pale ujenzi utakapomalizika

View attachment 2649409View attachment 2649408

Interchanges sisi hatujengi Nairobi tu,
Kuna hii nyingine inajengwa Mombasa
View attachment 2649410
Na hii eldoret
View attachment 2649411

Port ya lamu inazidi kupokea vifaa kuiwezesha kuanza full operation
View attachment 2649414View attachment 2649415

Kuna miradi ya viwanja, affordable housing, konza na tatu cities etc. Alafu unaskia machizi hapa wakisema kenya haina miradi ya kimkakati kukomboa uchumi( whatever that means)
Ganzi tupu
 
An electric bus in Kenya
Fx9P33DWAAsM4Uf.jpg
 
Nyinyi ndio mnajenga sisi lipo design hilo

Arusha

Ninachoipenda Tanzania yaani Ni slowly but for sure hatubahatishi mnawahi miradi sijui mnakimbizana na nani halafu inakuwa hasara kwenu kama sgr mna uoga sana View attachment 2650223
Jengo matata sana hili nje ya Nairobi huwezi kupata jengo la kiwango kama hiki

Povu ruksa nimekaa paleeeeee
 
Mjadala wenye afya sana huu!

Mashakahola jifunzeni humu namna ya kujenga hoja na kuibana serikali yenu kiakili na sio kuvaa sufuria kichwani na kula mavi barabarani

Sisi tumestaarabika kitambo sio kama hao wenzetu. Sijataja wala sijakuwa specific kwa nchi yoyote. Jiwe gizani likikupata ujue ndio wewe.
 
What I like most about Kenya is that, big road projects have been delivered and others still under construction deep into the villages.
20230608_183857.jpg
 
These days you can't count 20+floor towers in Nairobi. You count 30+floor towers. 20+ floor towers are too many and they are being developed all over the city including Mombasa
download (64).jpeg
download (63).jpeg
 
Back
Top Bottom