So you admit indirectly that you guys are many than what is portrayed on the population census!!!!!!We produce all of those it's just that our consumption is much higher so we have a deficit. Things like beans we are the 3rd largest producer in Africa just behind you. But agriculture wise in general kenya and Tanzania are at par, some commodities you produce more than us and some we produce more
[emoji120]The best 007 ndio hii barabara inapita ile daraja linalojengwa pangani [emoji116][emoji116][emoji116]
Ruto ana mcopy sn Magu sema tatizo ka nchi kao kameoza alafu hakana resources.Ndio wanaojidanganya wana democracy
wacha upuuzi wewe Slaa alipoamua kuoa aliacha na upadre! Japokuwa kweli alikuwa padri hapo mwanzo!
Huwezi kuwa padre au mtawa na wakati huo huo ukaruhusiwa kufanya sex, au kuwa na watoto. Slaa aliamua kuukana upadre kwanza ndio akaweza kuoa mke, Kama wapo wenye familia na bado ni Mapadre, basi wanajificha machoni mwa watu, yaani wanawaogopa watu kuliko Mungu wanayemuamudu, huo ndio unafiki uliojaa miongoni mwa wanaoamini hizi dini.
Mkuu, watu wengi hujibu hoja ya kufanya sex na kuwa na watoto kwa misingi ya uasili wa maumbile ya binadamu na Dunia, kwamba Mungu ameumba mwanamume na mwanamke Ili waje duniani kuzaana na kuijaza Dunia.
Wakatoliki tumefikia hatua ya kukataza kutumia kondom au kumwaga mbegu nje Ili ziweze kuingia kwa mwanamke Ili kupata watoto. Jambo la kushangaza ni kwamba, wakatoliki haohao ndio wanaokataa viongozi wao wa dini kuoa, kufanya sex na kuwa na watoto, tukianzia na kiongozi wetu mkuu "Papa", hili kweli linakuingia akilini?.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Undugunization kwenye kuendesha club ambayo inaua professionalism.Azam ina kwaza sana... Kwa resources na facility waliyo nayo walitakiwa kuongoza ligi.. Ila sijui wanakwama wapi.
๐คฃ๐คฃ๐คฃRuto ana mcopy sn Magu sema tatizo ka nchi kao kameoza alafu hakana resources.