chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
Cabbage kenya inaongoza Africa kwa production go and check. Same with avocado na chai. Vitu kidogo sana mnatushinda hamna anayepinga. Horticulture tumewapiga na gap kubwa sana
Cabbage kenya inaongoza Africa kwa production go and check. Same with avocado na chai. Vitu kidogo sana mnatushinda hamna anayepinga. Horticulture tumewapiga na gap kubwa sana
Hakuna mtu Kenya hufuatilia hizi takataka ameteur.Mukiona nairobi munitag 😅😅😅
View attachment 2645646
Food imports from neighbouring Tanzania into the country have for years been helping bridge the gap of insufficient supply and a huge demand for the products.I'll gladly do so
![]()
Are you sure?Only vitunguu. Matunda mengi tunaexport kuwaliko. Horticulture in general tuko vizuri kuwashinda
Mna export nini? Hizo ni official and verified sources unataka ushahidi upi?Leta data .
Si tweets za washenzi kwa ground.
Kenya consume more and export too.
Kuna mwana kawafanyia unyama sana kwenye finishing ya gypsum board, wakunya wamebaki wanamsifia wengine wanaponda kua gypsum sio durable . Lakini wakunya mjue hao mafundi wengi ni vijana tu wenye experience ya kaza wala hawana degree wala certificate za technician ndio maana mnaona wako cheap. Kazi zao ni noma na nusu
😅😅😅😅😅 Sasa unalilia nn ok ni takataka kwanin unalia haya nyamaza mtoto ntakupa pipi punguza hasiraHakuna mtu Kenya hufuatilia hizi takataka ameteur.
Ata walete live kwa Tv Hakuna mtu atawatch 😂
Export what?? Mayb tea ndio kitu munaweza na maua na siku hzi maua hayana soko tena 😅😅Leta data .
Si tweets za washenzi kwa ground.
Kenya consume more and export too.
I have been shouting here everyday kuwa these guys have loads of misplaced priorities lakini hawasikii ni kiburi tuu lakini sasa njaa inawaumbua.Here is where you Kunyans are missing the point, how do you choose your priorities?, Why don't you use that land to produce staple food?, one of less important crops is cabbage, why do you concentrate on cabbage agriculture which can't get you out of hunger and starvation and not rice, maize, soya beans, onions, tomatoes and alike which form our daily menu?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Data hii hapa, au hutaki?Leta data .
Si tweets za washenzi kwa ground.
Kenya consume more and export too.
We produce all of those it's just that our consumption is much higher so we have a deficit. Things like beans we are the 3rd largest producer in Africa just behind you. But agriculture wise in general kenya and Tanzania are at par, some commodities you produce more than us and some we produce moreHere is where you Kunyans are missing the point, how do you choose your priorities?, Why don't you use that land to produce staple food?, one of less important crops is cabbage, why do you concentrate on cabbage agriculture which can't get you out of hunger and starvation and not rice, maize, soya beans, onions, tomatoes and alike which form our daily menu?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hahaha, Tanzania is the father of agriculture, we lead you in almost every type of agriculture.We produce all of those it's just that our consumption is much higher so we have a deficit. Things like beans we are the 3rd largest producer in Africa just behind you. But agriculture wise in general kenya and Tanzania are at par, some commodities you produce more than us and some we produce more