Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar
20230603_133443.jpg
20230603_133449.jpg
20230603_133440.jpg
20230603_133413.jpg
20230603_133344.jpg
20230603_133351.jpg
20230603_133336.jpg
20230603_133341.jpg
20230603_133216.jpg
20230603_133218.jpg
20230603_133100.jpg
20230603_133110.jpg
20230603_132919.jpg
20230603_132937.jpg
20230603_132933.jpg
 
Najua kidogo niko nje ya mada ya uzi

Wakuu nina swali kuhusu hii ishu ya hawa jirani zetu tuliopakana nao kupitia ziwa tanganyika namaanisha Congo Dr

Licha ya kuwa na jeshi lao FARDC wamekuwa wakipata msaada kupitia vikosi vya mataifa mbalimbali katika kutafuta suluhisho la amani ya nchi yao Na mpka leo matokeo sio mazuri


Swali ni hili inamaana jeshi lao Ni dhaifu sana au ? Maana kama kweli jeshi la nchi lenye kufundishwa nidhamu na uzalendo na kuweka maslahi ya nchi mbele inakuaje wanashindwa kupambana na maadui mpka wapewe msaada ?

Ilitakiwa wao wawe mstari wa mbele kupambana nao na wamalize mara moja hata hili tatizo la m23 hakutakiwa uwepo eacrf wao kama wao ingebidi wapambanie taifa lao wavuje damu kwa ajili ya maslahi ya nchi yao. ni nini hasa tatizo kwenye hili jeshi lao ?

Nawasilisha


Wataalamu tupeni elimu wengine ambao hatuna ufahamu kuhusu huu mzozo wao
 
Back
Top Bottom