Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_20230603-113257.jpg
 
Hawa ndio waganda wanaojinasibu kulinda Mila za Afrika. Hawa mashahidi wa Uganda ni wale waliohasi Mila za kiafrika chini ya utawala wa Kabaka na kuamua kufuata Mila na dini za wazungu. Waganda wanawaenzi kwa kuasi Mila na dini zetu.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Huu upumbavu mbona hiyo $2.7 bln wasianze kujenga Bagamoyo port?
We unafikiri kwanini sisi huyu mama tunampinga kila kukicha?

Hata uwezo wa uongozi, matokeo yake group la mafisadi ndio linalwta miradi ya kifisadi kama ilivyokua kwa Kikwete.

Avic town, nyumba kibao ziko empty kwa sababu ya bei, mafisafi wakina Msechu wanaendelea walipo ishia na Miradi ya Samia Housing kuuza flats kwa million 200, nani atanunua?
 
The overrated overglorified Arusha has got nothing on Nakuru....tanzanians you are being conned big time and you think you have the best government in the world?I think complaining has really helped Kenya tower above its jealous neighbours bigtime....yet tanzania has kept making it difficult for free trade in fear of Kenyans....Haha......arusha our weekend pit stop

Acha lawama kijana

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
We unafikiri kwanini sisi huyu mama tunampinga kila kukicha?

Hata uwezo wa uongozi, matokeo yake group la mafisadi ndio linalwta miradi ya kifisadi kama ilivyokua kwa Kikwete.

Avic town, nyumba kibao ziko empty kwa sababu ya bei, mafisafi wakina Msechu wanaendelea walipo ishia na Miradi ya Samia Housing kuuza flats kwa million 200, nani atanunua?
wewe unataka nyumba ziuzwe bei gani milioni 10?
 
Back
Top Bottom