Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu joto la jiwe samahani kama swali langu litakukwaza. Wewe ni gay? Na kwa nini hutaki kua na watoto? Natanguliza samahani lakini
Swali lako lina sehemu kuu mbili:
1)Je wewe ni gay?
Hili swali umeliuliza kutokana na msimamo wangu wa kutetea haki za mashoga.
Jibu; Kutetea haki za walemavu au wanawake, sio lazima kufanywe na walemavu au wanawake. Viongozi wote wa nchi zilizo mstari wa mbele kutetea ushoga nao wote ni gays?. Biden, Obama. Riki Sunack, Macron na wengine, wote hawa ni gays?

2)Kwanini sihitaji kuwa na watoto?.

Jibu: Sijawahi kusema kwamba sihitaji au ninahitaji watoto, nimekua nikisema kwamba duniani sio wote tunaohitaji kuwa na watoto, wapo watu ambao hawahitaji watoto na Kuna wenye kuhitaji watoto, ni haki ya mtu kuchagua.

Mkuu binadamu anatofautiana na wanyama katika eneo Moja tu, nalo ni uwezo wa kupanga uzazi. Wanyama hawana uwezo huo, wanaendeshwa na "hormones" za uzazi, hormones zikipanda lazima wafanye sex na wazae, hawana chaguo la kuamua kuzaa au kutozaa, kuwa na watoto au kutokua na watoto, idadi gani ya watoto ninayoimudu kuwatunza.(Primitive way of reproduction)

Waafrika wengi bado hatujaachana sana na wanyama, bado tunaendesha maisha yetu kwa kufanana Sana na wanyama wa porini, bado jamii zetu nyingi zinaishi maisha ya "hunting & gathering", bado tunazaa kwa kuendeshwa na "hormones" na mitazamo ya kijamii badala ya brain(Primitivity).

Mkuu, hivi kwanini Mapadre na masista wa kikatoliki hawazai Wala kufanya sex Kama kweli amri ya Mungu ni kuzaana na kuijaza Dunia?, Ina maana Papa na viongozi wa Katoliki wanapingana na Mungu?.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mukiona nairobi munitag 😅😅😅
20230604_112737.jpg
 
Back
Top Bottom