Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshots_2023-06-01-18-33-01.png
 
Yani hawa walivojitenga na africa kipindi africa inatafuta uhuru mpaka leo hii 2023 walitakiwa wawe sawa na nchi kama qatar au malaysia 😅😅😅 lakini vile MUNGU mkubwa zimbabwe wana nafuu kuliko wao yote walijawa na roho mbaya iliojaa tamaa bila kujali utu na kuwajali waafrica wengine
Hahaha ila ukweli tuseme kutembea Pamoja na hii mitandao imevunja mipaka sana, Kunyaland ulikua ukiisikia enzi hizo inavyosifiwa na wenyewe wanavyojisifia unaweza dhani ni nchi moja ipo Africa kimakosa, aisee acheni nyie hata Rwanda haijafikia bado PR ya shakahola enzi hizo 😂😂😂 ila kwa ground sasa
 
Kinachoshangaza ni kwamba hawachukui hatua zaidi ya kulalamika tu mitandaoni, haya majitu ni majinga sana.
Na nguvu ya kulalamika tena mitandaoni tu ndio wanayo hawana ubavu wa kuwawajibisha kwenye katiba yao ya kiduanzi wanaojisifiaga na hapa pia liwe somo kwamba katiba sio chochote

Hivi hiyo katiba ina nguvu gani kwenye huu ufisadi wa kutisha namna hii? Duh Tanzania sio mbingu lakini hii mijizi ipo space 😂😂😂
 
Hawajui historia hawa watu, Tz ni lidude fulani likuubwaaa tangu kitambo.
Ni mipesa mingi sana tumegharamia kwenye hizi harakati tena kipindi uchumi wa hivi vinchi vingine vikiwa hovyo taabani, laiti tungeenda na Ile pace mbona tungesumbua, ila pamoja na hivyo bado Ile institutionalization Tanzania tulionayo kwenye serikali ni top notch kwa Africa
 
Kutoka hapa Kabwe Port/Rukwa ni km 24 tuu kufika Moba Port /DRC


Nilichanja mbuga na Boti hiyo ya Kienyeji ya Serikali.

Ziwa Tanganyika halina Meli inayofanya kazi
IMG_20230510_165458_712.jpg
IMG_20230510_160121_925.jpg
IMG_20230510_160117_053.jpg
IMG_20230510_153802_495.jpg


Serikali ongezeni uwekezaji kwenye maeneo haya Yana fursa nyingi sana za biashara.
 
Today 😀😀😃



Yesterday 😂😂😂



Wananchi wake mwenyewe anawatafutia machaka overseas sababu kashindwa kuwapa uhakika wa ugali sukuma, shida za wa Africa wengine ndio ataziweza? 😅😅 Hapa kweli Rais kapatikana 😂

Canada yenyewe haitaki kumuona mkenya kwake 😂😂😂

 
Kutoka hapa Kabwe Port/Rukwa ni km 24 tuu kufika Moba Port /DRC


Nilichanja mbuga na Boti hiyo ya Kienyeji ya Serikali.

Ziwa Tanganyika halina Meli inayofanya kazi View attachment 2642861View attachment 2642862View attachment 2642863View attachment 2642864

Serikali ongezeni uwekezaji kwenye maeneo haya Yana fursa nyingi sana za biashara.

Nilifika Kalando, pale Kuna biashara bhana na mzunguko mzuri..

Ila mambo yote ni chini ya maji.. Kimya kimya ila mzunguko wa pesa ni mkubwa sana sababu ya magendo Kwa sana kati ya DRC na TZ.
 
Back
Top Bottom