Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilifika Kalando, pale Kuna biashara bhana na mzunguko mzuri..

Ila mambo yote ni chini ya maji.. Kimya kimya ila mzunguko wa pesa ni mkubwa sana sababu ya magendo Kwa sana kati ya DRC na TZ.
Biashara za huku zote ni Magendo bila hivyo hutoboi na kiukweli Kuna hela,Ukiwa na Boti Zenye engine kubwa itafaidi Ziwa.
 
Na nguvu ya kulalamika tena mitandaoni tu ndio wanayo hawana ubavu wa kuwawajibisha kwenye katiba yao ya kiduanzi wanaojisifiaga na hapa pia liwe somo kwamba katiba sio chochote

Hivi hiyo katiba ina nguvu gani kwenye huu ufisadi wa kutisha namna hii? Duh Tanzania sio mbingu lakini hii mijizi ipo space
Afrika bado hatuhitaji katiba za namna hiyo sijui ugatuzi sijui nini, sisi bado umaskini unatusumbua hatuwezi kuwa na katiba za namna hiyo, mpaka njaa iishe ndio tuwe na katiba zenye uhuru wa hivyo.
 
NATURAL GAS NEWS
TANZANIA TO REVIEW APPROVAL OF $42 BLN LNG PROJECT IN JUNE
May 31, 2023 2:10😛m

SUMMARY
Tanzania's government said on Wednesday it had completed negotiations with the investors of its $42 billion liquefied natural gas (LNG) project, with the agreements set to be reviewed for approval next month.
BY: REUTERS

DAR ES SALAAM, May 31 (Reuters) - Tanzania's government said on Wednesday it had completed negotiations with the investors of its $42 billion liquefied natural gas (LNG) project, with the agreements set to be reviewed for approval next month.

Energy minister January Makamba said the agreements for the approval of the long-delayed project - aimed at unlocking the country's vast but remote offshore gas resources - would be presented to the government's cabinet before they are signed.

Advertisement:



The National Gas Company of Trinidad and Tobago Limited (NGC) NGC’s HSSE strategy is reflective and supportive of the organisational vision to become a leader in the global energy business.

ngc.co.tt
S&P 2023
While Makamba did not provide a time frame in his address to parliament, the ministry of energy's budget speech for 2023/24 published on its website showed the LNG investors and the government are expected to sign an amended production sharing agreement in June.

"The $42 billion project will change the image and the face of our economy," Makamba said, adding the government would enact a special law to monitor the project.

Earlier this month, Equinor, Shell and Exxon Mobil said they had agreed a deal with the east African country for the development of an LNG export terminal.

Since taking office in 2021, President Samia Suluhu Hassan has been pushing to complete negotiations for long-delayed projects. The LNG project had stalled for seven years.

Separately, Makamba also said the government was planning to increase electricity production from the current 1,872 megawatts (MW) to 5,810 MW by 2025/26 to meet increased demand.

"This has considered the contributions and importance of the ongoing energy projects from different sources ... with great consideration of the private sector," he said. (Reporting by Nuzulack Dausen; Editing by Bhargav Acharya and Mark Potter)



MY TAKE
Aisee yaani $42 bln kwenye GDP kule kuna $4 bln EACOP na huku mipango ya $10 bln Bagamoyo port back on drawing table! Wale jamaa wa kupika GDP sijui watafanya nn kwenye hili?
 
Biashara za huku zote ni Magendo bila hivyo hutoboi na kiukweli Kuna hela,Ukiwa na Boti Zenye engine kubwa itafaidi Ziwa.
Huko raia wana hela sana... Kila vijumba huko ni ma godown. Ni sehemu nzuri sana maana Kuna pesa nyingi na hali ya maisha na gharama iko chini.

Hii ni Kwa wale wapiganaji wa hizo biashara za kuvusha boda.. Hela wanayo.
 
Hawajui historia hawa watu, Tz ni lidude fulani likuubwaaa tangu kitambo.
Huyo Nyoko Yusuph Lule, alipigiwa simu na kuambiwa aachie madaraka haraka sana na ikawa hivyo then akaletwa dar es salaam alipowekwa kizuizini, house arrest kwa muda sana. 😂 😂

Sisi tumepoa miaka hii mwana, habari yetu ilikuwa sio poa Africa hii.

 
You think this is a coincidence, we are world stake holders. Our calibre is beyond nigerian politics View attachment 2640035
Aki nimecheka sana leo mpaka mbavu zinauma eti World Stakeholders

Labda world stakeholders kwenye mambo haya



Screenshot_20230601-235040_Opera.jpg
 
Afrika bado hatuhitaji katiba za namna hiyo sijui ugatuzi sijui nini, sisi bado umaskini unatusumbua hatuwezi kuwa na katiba za namna hiyo, mpaka njaa iishe ndio tuwe na katiba zenye uhuru wa hivyo.
Katiba ni scam kaka, mimi nawashangaa watu wanaoona kama katiba ni kitu kinachoweza kuleta uwajibikaji au maendeleo serikalini, mashakahola yametumia billions kuandika katiba lakini ufisadi na umasikini ndio kama umetungiwa hiyo katiba, bado serikali yao ni ghetto no order, kabila lina nguvu kuliko chochote.

Lazima awepo mtu mmoja juu kama Magufuli ili nchi iende kwa nchi zetu hizi bado tunahitaji mtu kuliko katiba.
 
Back
Top Bottom