Ndio ujue maana na tofauti ya Purchasing Power Parity between Kenya and Tz ambayo kila siku tunawaelezea humu ndani sio takwimu za kupikaYou know ukisota Kenya uingie tanganyika the cheap ass country unanunua duka nzima na 10k.....ksh.....that's why Subaru boys like partying in the overrated arusha





