Filaria
JF-Expert Member
- Jun 28, 2021
- 756
- 2,097
Kwahyo mkuu mtoto wako akiamua kuwa shoga we kwako fresh tu..?Haki inatolewa na mamlaka juu yangu. Mimi nitakachompa ni acceptance na upendo wa dhati. I’m happy to answer more questions.
Kwahyo mkuu mtoto wako akiamua kuwa shoga we kwako fresh tu..?Haki inatolewa na mamlaka juu yangu. Mimi nitakachompa ni acceptance na upendo wa dhati. I’m happy to answer more questions.
Hapo mkuu ndio unapoteza "concept" nzima ya huu mjadala wa ushoga, yeye au sisi wote inawezekana hatukubaliani na ushoga, lakini wapo watu ambao wanakubaliana na ushoga, Sasa kwanini wakatazwe wakati wao wenyewe wamependa?. Hivi akija mtu akikulazimisha uachane na Imani ya dini yako kwasababu yeye hana Imani na Imani yako utajisikiaje?, Kwanini Kila mtu asiachwe na Imani yake?Kwahyo mkuu mtoto wako akiamua kuwa shoga we kwako fresh tu..?
Si kila mtu anataka watoto. Kulea watoto kunahitaji emotional maturity, physical capabilities and money! Si kila mtu anayehitaji watoto anatimiza hizi criteria. Watoto wanaweza kuzaliwa “by accident” kama couples hawatumii family planning Au protection. Kuna watoto wamejaa mtaani kwasababu wazazi wao hawawezi kuwatunza ipasavyo. Je, huu ndio wajibu unaozungumzia? Nimesema tangu mwanzo kuwa ASSUMPTIONS ulizonazo kuhusu binadamu ni false na hazina mashiko!Kama sio wajibu kuleta watoto kwann uliletwa wewe ?? 😅😅 kwann hufkirii wengine kua wanahaja ya kuletwa duniani
Ikiwa wewe umeletwa kwa njia hio unataka wengine waletwe kwa njia gani ya ushoga au kusagana??
Hawa wenye Imani za dini za kigeni ni shida Sana hapa Afrika. Wanataka Kila mtu awe anafanya wao wanachokiamini, hovyo sana hawa jamaa.Naonaga kujadili haya mambo ni kuendelea kuyapa airtime.
Maisha ni yao watajua wenyewe.
Mombasa inapokea tonnes ngapi kwa mwaka?Watakuletea efficiency report ya (WB) ambayo inasema port of Mogadishu imeishinda durban but kwa ground vitu ni different.
View attachment 2643447
Unajua tunavyoutetea hapa kuna siku ushoga utakua normal kwenye jamii zetu na watoto wetu pia kwakua itakua jambo lakawaida wataingia pia, utapata wapi nguvu ya kuwazuia?Hapo mkuu ndio unapoteza "concept" nzima ya huu mjadala wa ushoga, yeye au sisi wote inawezekana hatukubaliani na ushoga, lakini wapo watu ambao wanakubaliana na ushoga, Sasa kwanini wakatazwe wakati wao wenyewe wamependa?. Hivi akija mtu akikulazimisha uachane na Imani ya dini yako kwasababu yeye hana Imani na Imani yako utajisikiaje?, Kwanini Kila mtu asiachwe na Imani yake?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mkuu umeelewa kinachoongelewa lakini?
Unafikiri ushoga ni “Infectious” kama magonjwa? Wewe unaweza kuambukizwa ushoga? Au unaweza kuamka asubuhi na kuamua kuwa shoga? Ni lini mtaelewa kuwa ushoga ni kawaida Kwa baadhi ya binadamu? Kama ushoga ungekuwa unaambukizwa basi dunia nzima ingekuwa ni mashoga kwasababu mashoga wapo kwenye kila Kona ya hii dunia. Lakini uwepo wao hauziii watu wasio mashoga kuishi watakavyo au kuwabadilisha ili nao wawe mashoga.Unajua tunavyoutetea hapa kuna siku ushoga utakua normal kwenye jamii zetu na watoto wetu pia kwakua itakua jambo lakawaida wataingia pia, utapata wapi nguvu ya kuwazuia?
Huwez panga wastan wakufanya mapenzi kwa wiki bro acheni ujuaji wa kila kitu unampangiaje mtu wastan wakufanya mapenzi haha aisee🙌🙌Wastan binadamu hufanya sex mara tatu kwa wiki, kwahiyo hizo mara tatu kwa wiki lengo ni watoto?, He wazee waliofikisha "Menopause" hawapaswi kufanya sex?.
98% ya sex duniani ni kwa ajili ya kupata "pleasure", sexual pleasure inaweza ikawa penetration au none penetration. Nani aliyesema lazima penetration iwe ni "viginal tu"?. Mkuu inaonekana bado upo nyuma Sana.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kama jamii zetu zitakua na wazazi wenye mitazamo kama yenu, yes ushoga utakua ni infectious tena pandemicUnafikiri ushoga ni “Infectious” kama magonjwa? Wewe unaweza kuambukizwa ushoga? Au unaweza kuamka asubuhi na kuamua kuwa shoga? Ni lini mtaelewa kuwa ushoga ni kawaida Kwa baadhi ya binadamu? Kama ushoga ungekuwa unaambukizwa basi dunia nzima ingekuwa ni mashoga kwasababu mashoga wapo kwenye kila Kona ya hii dunia. Lakini uwepo wao hauziii watu wasio mashoga kuishi watakavyo au kuwabadilisha ili nao wawe mashoga.
Sawasawa kabisa, jamii inajitengeneza yenyewe, jamii sio "static", Huwa inajibadilisha kulingana na wakati. Utakumbuka miaka ya 1990s wakati "Bongo flavour" inaanza?, watu walipinga Sana kwamba ni uhuni na waasilam wakasema ni ushetani ndani ya dini, Leo Kila mtu anaikubali na hao waislam ndio wanaoongoza katika "music industry" hapa Tanzania, hivyo hivyo katika mashindano ya "Miss Tanzania".Unajua tunavyoutetea hapa kuna siku ushoga utakua normal kwenye jamii zetu na watoto wetu pia kwakua itakua jambo lakawaida wataingia pia, utapata wapi nguvu ya kuwazuia?
Baadhi ya binaadamu gani au ndio mila za kishetani zinalazmishwa africa manake naona ushoga unalazmishwa zaidi africa kuliko nchi zingine na sijui lengo ni nn au wanataka kupunguza binaadamu na nguvu kazi 😅😅😅 ww usilazmishe ushoga uonekane wa kawaid wakat ni jambo la kishetani na blue haiwezi kua kijani africa hakuna mila za kishoga ni mila zinazoletwa kwa malengo maalumu africaUnafikiri ushoga ni “Infectious” kama magonjwa? Wewe unaweza kuambukizwa ushoga? Au unaweza kuamka asubuhi na kuamua kuwa shoga? Ni lini mtaelewa kuwa ushoga ni kawaida Kwa baadhi ya binadamu? Kama ushoga ungekuwa unaambukizwa basi dunia nzima ingekuwa ni mashoga kwasababu mashoga wapo kwenye kila Kona ya hii dunia. Lakini uwepo wao hauziii watu wasio mashoga kuishi watakavyo au kuwabadilisha ili nao wawe mashoga.
😅😅😅😅😅 na amini ukiona mtu anatetea ushoga mark my words lazima awe na athari nazo chunguza vzrKama jamii zetu zitakua na wazazi wenye mitazamo kama yenu, yes ushoga utakua ni infectious tena pandemic
Hii ni idiocy kwasababu Hakuna nchi yoyote duniani inayotoa haki za usawa Kwa mashoga iliyopitia hii hali. Go back to the drawing board and come up with something better to say.Kama jamii zetu zitakua na wazazi wenye mitazamo kama yenu, yes ushoga utakua ni infectious tena pandemic
Enhh nimekua napenda anal sex tena ??😅😅Tena Wewe ichoboy01 najua unapenda ANAL sex. Kuna siku mtu humu alipost picha ya mwanamke mzuri ukacomment kusema kuwa unaona “mashimo saba” ukimtazama Huyo mwanamke. Unaitaka kinyaa Kwa ku-objectify wanawake na sio Mara ya kwanza nimeona hii lakini pia Wewe ni HYPOCRITE! Uko hapa unajifanya kusema kuwa anal sex ni mbaya knowing that you are sexually attracted to the Anus. Wewe ni pimbi! Ngoja niitafute hiyo post.
Ushoga haulazimishwi Afrika. Kuna nchi progressive kwenye bara la Afrika ambazo zinalinda haki za mashoga kwasababu ni maslahi ya wananchi wao, si kwa kusikiliza sauti za nje!Baadhi ya binaadamu gani au ndio mila za kishetani zinalazmishwa africa manake naona ushoga unalazmishwa zaidi africa kuliko nchi zingine na sijui lengo ni nn au wanataka kupunguza binaadamu na nguvu kazi 😅😅😅 ww usilazmishe ushoga uonekane wa kawaid wakat ni jambo la kishetani na blue haiwezi kua kijani africa hakuna mila za kishoga ni mila zinazoletwa kwa malengo maalumu africa
Sasa Kama siwezi kumpangia mtu kufanya sex kwa wiki, wewe nani aliyekupa madaraka ya kuwapangia watu jinsi na namna ya kufanya sex?, nani aliyeweka hiyo amri kwamba sex lazima iwe kati ya "penis vs Vagina?".Huwez panga wastan wakufanya mapenzi kwa wiki bro acheni ujuaji wa kila kitu unampangiaje mtu wastan wakufanya mapenzi haha aisee
Kama 98% ni kupata pleasure hii birth rate kwann ni kubwa kuliko dearh rate ?? Wanazaa ili iweje na ww ulizaaliwa ili iweje au ulikuja by nature
Mm niko nyuma au ww ndio unalazmisha kijani kua blueyani nastaajabu kuona binadaamu kama ww mwenye mawazo kama yako mzee alooo dunia imeisha hii
Ndomana nikamuulza kaka mkubwa hapo kama ni hvyo basi sawa hata watoto wetu wakihitaji haki zao kuwa mashoga tuwapongeze.. tusidhani jambo hili litaishia kwa hao wengine tu.Sawasawa kabisa, jamii inajitengeneza yenyewe, jamii sio "static", Huwa inajibadilisha kulingana na wakati. Utakumbuka miaka ya 1990s wakati "Bongo flavour" inaanza?, watu walipinga Sana kwamba ni uhuni na waasilam wakasema ni ushetani ndani ya dini, Leo Kila mtu anaikubali na hao waislam ndio wanaoongoza katika "music industry" hapa Tanzania, hivyo hivyo katika mashindano ya "Miss Tanzania".
Kama itafika wakati ushoga utakubalika Kama vilivyokubalika mziki wa bongo flavour na mashindano ya urembo, tatizo liko wapi, hiyo itakua ni enzi zao sisi tutakua tumepitwa na wakati. Hata hivi Sasa Kuna wazee wengi Sana waluopitwa na wakati hawataki kisikiliza mziki wa kizazi kipya na kuangalia mashindano ya urembo, kwa Imani Kama hiyo uliyokua nayo wewe kuhusu ushoga.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app