Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,305
Majuzi tulipobishana hapa kuhusu vyanzo vya nishati, kuna baadhi yetu walisifia umeme wa jua na kupinga nyuklia, eti hatuna uwezo wa kuuendesha., nikajiuliza warusi si wapo? Sasa hata wiki haijapita tunaambiwa Burundi watakuja kuwa na umeme huo, sisi tuendelee kuwa na vilaza kwenye wizara nyetu ndo tutajua hatujui.Ww ongea hvo hvo hata kwa iran walisema haiwezekani 😁😁😁 sasa nchi zote zimeshtuka misri na turkey wanajengewa na russia