Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cheap ukimaanisha nn sijakuelewa? Shida ya kenya miradi mingi sana kuna ufisadi wa kutisha na hili huwez kataa kila mtu anataka ale hapo hapo kwenye huo huo mradi kwann usiwe ghali
Hata Mimi sijamuelewa, alikuuliza Kama Kuna kulipia fidia kwa watu waliochukuliwa ardhi yao kupisha Mradi?, ukamjibu ndio lazima watu walipwe fidia, bado akasema ndio maana ni "cheap". Sasa ungesema hakuna kulipwa fidia, sijui angejibu nini.

Wakenya tayari katika vichwa vyao wameweka majibu ya kutaka kuonyesha kwanini Tanzania miradi mingi inafanyika kwa ufanisi na ni "cheap", kubwa ni kusingizia kwamba ardhi ni bure hatulipi fidia, ndio sababu alitegemea useme hakuna kulipa fidia, ulipomuambia tunalipa fidia, bado alitoa jibu lilelile kwasababu tayari lilikua lipo akilini mwake.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
20230601_121151.jpg

 
Na hili ni account ya Jeshi la Uganda wakitia ushuhuda wa historia ya jeshi lao la leo na muundo wa jeshi hilo na wah7sika wakuu waliounda jeshi la nchi yao.

Ndio ilivyo kwa Mozambique, Rwanda, Burundi, Zimbabwe, Angola, Namibia, South Africa, Zambia, DRC Congo, S. Sudan.

Nilisahau Seychelles na Comoros.


Haha sasa ligi zenu ni hizi nchi maskini za kiafrika?
Tafteni sifa kutoka nchi za maana.
Zilizoendelea
 
You know ukisota Kenya uingie tanganyika the cheap ass country unanunua duka nzima na 10k.....ksh.....that's why Subaru boys like partying in the overrated arusha
Mpaka expressway 27 km mmejengewa kwa trillion 1.5 wakati Tanzania 215 km inajengwa kwa trillion 1.9, ninyi ni ng'ombe wa mafisadi wenu waliojazana serikalini
 
Haha sasa ligi zenu ni hizi nchi maskini za kiafrika?
Tafteni sifa kutoka nchi za maana.
Zilizoendelea
they can only scare dwarf countries....not Kenya and they know it.TZ has a real fear for Kenyan aggresiveness....haha.....waweke free border trade waone kama we wont colonize that tz of theirs in 5 years
 
Back
Top Bottom