Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu ngoja nikueleweshe
Upepo ni mkusanyiko wa hewa. Na hewa ni mkusanyiko wa gases mbalimbali zikijumuisha oxygen na nitrogen, na hizi gases zote ni colorless.. sasa itakuwa upepo una rangi wakat kinachotengeneza upepo ni colorless.

Na upepo unatokea pale kuna difference ya air pressure kutoka kwenye pressure kubwa kwenda kwenye pressure ndogo.. ishu ya Yesu kusimamisha upepo ni beyond science (hapa ni ukuu wa Mungu) kwamba alisimamisha upepo usisafiri even thou kuna uwezekano wa kuwepo kwa air pressure difference, same case kupaa juu against gravity.. kutumia kigezo za upepo kusimamishwa sio kwamba upepo ni kiumbe hai, no.. na mamlaka au ukuu wa Mungu kufanya hivyo upepo usimame.
Umejibu kibinadamu sana, ikiwa upepo una sauti iweje ukose kuwa na shape? Iweje uwe colorless

Hapo sayansi imefeli, ila kwasababu haijafika mwisho itagundua mambo mengi sana huko mbele, lkn pia nikupongeze kwa kukubali uwepo wa Mungu.
 
Twende taratibu hivhihv.. mpk uelewe.. tumesema upepo ni mkusanyiko wa hewa zinazotokana na gases.. na unasafiri kutoka sehem moja hadi sehem nyingine.. hizo kelele ni mgongano wa small particles ambazo zinasafirishwa pamoja na upepo.. kinachotoa sauti sio upepo.. ni mgongano wa small particles zinazosafirishwa na upepo..
Umeleewa?
 
Twende taratibu hivhihv.. mpk uelewe.. tumesema upepo ni mkusanyiko wa gases.. na unasafiri kutoka sehem moja hadi sehem nyingine.. hizo kelele ni mgongano wa small particles ambazo zinasafirishwa pamoja na upepo.. kinachotoa sauti sio upepo.. ni mgungano wa small particles ninazosafirishwa na upepo..
Umeleewa?
Bado unanijibu kawaida sana mkuu tuachane na hii mada tafadhali
 
Mkuu, dini ni nini?, ilikuja toka wapi?, Ililetwa na nani?, kwasababu gani?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Dini ni mchongo tu wa watu! Na chakusikitisha hii michongo haijaanza kupigwa leo!

Mungu anachotaka ni tumuabudu yeye tu! Bila mtu kati!!

Ila wahuni wamejivisha udalali na kujiweka mtu kati. Ati bila wao hatutoona ufalme wa mungu, mara watuuzie maji ya uzima. Mara watombee dua. Yani ni uhuni mtupu
 
Twende taratibu hivhihv.. mpk uelewe.. tumesema upepo ni mkusanyiko wa hewa zinazotokana na gases.. na unasafiri kutoka sehem moja hadi sehem nyingine.. hizo kelele ni mgongano wa small particles ambazo zinasafirishwa pamoja na upepo.. kinachotoa sauti sio upepo.. ni mgongano wa small particles zinazosafirishwa na upepo..
Umeleewa?
Hizo small particles zenye unaeleza hata katikati ya bahari zipo pia, na ni small particles zipi hizo kwa mujibu wa sayansi.?
 
Bado unanijibu kawaida sana mkuu tuachane na hii mada tafadhali
Hapana mada haijaisha..
Popote unaposikia kuna sauti, bas ujue ni matokeo ya vibration (mgongano wa vitu) ambao unasabisha kuwepo kwa wimbi (wave) ambao chanzo chake ni pale kwenye msuguano (vibration) hadi pale inapokufikia wew and beyond or other place, ndo mana inapofika kwako unasikia sauti..
hapa hujaelewa bado?
 
Dini ni mchongo tu wa watu! Na chakusikitisha hii michongo haijaanza kupigwa leo!

Mungu anachotaka ni tumuabudu yeye tu! Bila mtu kati!!

Ila wahuni wamejivisha udalali na kujiweka mtu kati. Ati bila wao hatutoona ufalme wa mungu, mara watuuzie maji ya uzima. Mara watombee dua. Yani ni uhuni mtupu
Unajua hata maana ya hilo neno "Dini."?
 
Hizo small particles zenye unaeleza hata katikati ya bahari zipo pia, na ni small particles zipi hizo kwa mujibu wa sayansi.?
Kitu chochote chenye mass even if it has 0.000000000g (mfano mchanga, vichuma) ambacho vikisuguana vinatoa vibration
Endelee hapa
Hapana mada haijaisha..
Popote unaposikia kuna sauti, bas ujue ni matokeo ya vibration (mgongano wa vitu) ambao unasabisha kuwepo kwa wimbi (wave) ambao chanzo chake ni pale kwenye msuguano (vibration) hadi pale inapokufikia wew and beyond or other place, ndo mana inapofika kwako unasikia sauti..
hapa hujaelewa bado?
 
Kitu chochote chenye mass (mfano mchanga, vichuma) ambacho vikisuguana vinatoa vibration
Katikati ya mkondo wa bahari tunapataje hivyo vitu vidogo vyenye mass.? Mana huko unavuma haswaa.!! Na sauti zake ni za kutisha. Labda sayansi imeeleza.?
 
Hapana mada haijaisha..
Popote unaposikia kuna sauti, bas ujue ni matokeo ya vibration (mgongano wa vitu) ambao unasabisha kuwepo kwa wimbi (wave) ambao chanzo chake ni pale kwenye msuguano (vibration) hadi pale inapokufikia wew and beyond or other place, ndo mana inapofika kwako unasikia sauti..
hapa hujaelewa bado?
Kaka tuachane na hii mada tafadhali, huwezi kuielezea. Sauti ya upepo (hewa) inajulikana ni ileile kila siku kama wewe ambaye sauti yako ni hiyo hiyo kila siku haijawahi kubadilika, kama ingekuwa hizo particles unazosema basi ingekuwa inabadilika kulingana na particles ilizobeba.
 
Katikati ya mkondo wa bahari tunapataje hivyo vitu vidogo vyenye mass.? Mana huko unavuma haswaa.!! Na sauti zake ni za kutisha. Labda sayansi imeeleza.?
Hakuna lililoshindana...
Hiv bahari kweli ni maji tu tupu bila vitu vingine? Bahari si ina chumvi? Hio chumvi nayo si small particles? Au
 
Oya, sijui mnajadili nn, lkn kwenye mambo ya sayansi tulia mkuu 😅😎 naona unachapia sana
- ?

Wapi huko umesoma upepo (usambaaji wa hewa) una rangi na shepu?

- ?

Jua liko sehem moja na dunia ndo inazunguka kwenye mhimili wake kuzunguka jua.. so kama jua liko kulia, bas upande wa pili wa dunia yani kushoto kutakuwa na giza ambao ndo usiku, and vice versa
Nafkiri hii mada bado hujaielewa vzr bro rudi mwanzo wa mada kwanza
 
Hakuna lililoshindana...
Hiv bahari kweli ni maji tu tupu bila vitu vingine? Bahari si ina chumvi? Hio chumvi nayo si small particles? Au
🤣🤣🤣 Ni maelezo ya ujanja ujanja tu .. hivyo vitu ni Mungu mwenyewe ndio anajua, ila pia hatujakatazwa (na Mungu mwenyewe) kutaka kujua ya dunia, huenda hapo mbeleni ikatuletea majibu sahihi
 
Sayansi iligundua karne moja iliopita kua kuna maji chumvi na maji tamu zinakutana lakini kitabu cha dini kilishasema karne 14 zilizopita huko na ukitaka ushahidi sema
Wanataka kupinga tu lkn vitabu vya dini vina ukweli kabisa ni sisi binadamu tu tunapindisha kwa kusema ni vya wazungu, kama vingekuwa vya wazungu si vingetaja miji yao tu, Paris, London n.k huyo Yesu kafika mpaka Africa lkn hakwenda ulaya, basi si wangejipendelea waseme alizaliwa na kuishi ulaya?
 
Kaka tuachane na hii mada tafadhali, huwezi kuielezea. Sauti ya upepo (hewa) inajulikana ni ileile kila siku kama wewe ambaye sauti yako ni hiyo hiyo kila siku haijawahi kubadilika, kama ingekuwa hizo particles unazosema basi ingekuwa inabadilika kulingana na particles ilizobeba.
Wew unatoa sauti hio hio kwa sababu unaongea kwa sauti hiohio kila mara, au kuna kinaitwa bomba la hewa (lanxy).. sauti yako inatoka kuanzia hapo sehem ya juu ya lanxy.. kwakuwa umezoea kutoa sauti hiohio bas utatoa hiohio kila siku... pia unaweza kutoa sauti nyingine mf ya kuigiza kwa kipind fulan tu.. mtu hawezi kubadilisha sauti yake ambayo hajaizoea (sijui umeelewa)..

na ishu ya small particle... uwepo wa small particles haiaffect uzito wa sauti yako.. ndio mana ukiwa kwenye mashine mtu hawezi kusikia sauti yako.. atasikia sauti ya mashine kwa sababu sauti ya mashine ni kubwa kuliko yako, same case sauti unayotoa wew haiwez kuzidiwa na sauti inayotokana na small particles outside your mouth, au kama itazidiwa mtu atakuambia sikusikii ongeza sauti
 
🤣🤣🤣 Ni maelezo ya ujanja ujanja tu .. hivyo vitu ni Mungu mwenyewe ndio anajua, ila pia hatujakatazwa (na Mungu mwenyewe) kutaka kujua ya dunia, huenda hapo mbeleni ikatuletea majibu sahihi
Nimeuliza hivyo ujue bahari sio maji tu, kuna chumvi.. na vitu vingine..
 
Ni maelezo ya ujanja ujanja tu .. hivyo vitu ni Mungu mwenyewe ndio anajua, ila pia hatujakatazwa (na Mungu mwenyewe) kutaka kujua ya dunia, huenda hapo mbeleni ikatuletea majibu sahihi
Mungu fundi sana wallahi yani kuna vitu kavifumba hatuwezi na hatutokuja kupata majibu hata tufanyaje, mfano riziki, kifo yani hapo kamaliza kabisa.
 
Back
Top Bottom