Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hio zuga mzee na hii sio mara ya kwanza kusaini mikataba kama hio, museven ni mjanja sana hawezi kuanza ujenzi mpaka kenya wasogeze reli malaba shika maneno yangu

MY TAKE
That's around $160 mln not small amount for GoU while Tanzania has set aside over US$422 mln for SGR this budget! I still think GoT is more serious n can even set aside funds for Isaka-Masaka SGR after Uvinza-Gitega SGR has started. Just wondering how much has GoK set aside for Naivasha-Malaba SGR?
 
An electric bus in Nairobi
FB_IMG_16852254290917814.jpg
 
Bado bei za umeme no kubwa sana.Chaajabu,wanajenga huo umeme wa jua ambao ni wa gharama kubwa.
Utawezaje kuwa na ukuaji wa viwanda kama bei za umeme ni Juu? Kwanini tusiwaige wachina wanaojenga mabwabwa ya hydro electric kila mwaka? Hivi watanzania tumerogwa?
Kweli Bei za umeme ni kubwa ,lakini energy mix muhimu , ukija ukame wa maana utakuwa wa kwanza kulia
 
Mzee unataka hydro kiais Gani
1. Jnhpo hydro 2115mw
2.Kakono Hydro
3. Rusumo
4 .Malagarasi

Ruhidij na rumakali soon wana sign

Tumeona Ukame ulivyofanya kihansi kidatu mtera kukauka bado hutaki energy mix , unahisi nchi nyingne hamna energy mix .

Tz hatujafika level za kuhandle nuclear bora ungesema geothermal
 
Africa's TOP 10 Producers of Avocados (in MTs)

1. Kenya ~ 416,803
2. Ethiopia ~ 152,205
3. Malawi ~ 93,872
4. South Africa ~ 82,677
5. Morocco ~ 82,368
6. Cameroon ~ 75,116
7. DR Congo ~ 63,372
8. Côte d'Ivore ~ 35,993
9. Madagascar ~ 27,309
10. Ghana ~ 9,143

Data Period:2021
Data Source: FAOSTAT
 
Hii list inakusaidia nn wakati tukiweka list ya nchi zenye njaa Africa, mpo? June 2nd cargo flight inatua na soon cargo za fruits and vegetables zinaanza kutokea Kilimanjaro!
 
Africa's TOP 5 exporters of Mangoes

Côte d'Ivore ~ 38,187 MTs
Egypt ~ 27,724 MTs
Senegal ~ 27,548 MTs
Kenya ~ 19,631 MTs
Mali ~ 14,894 MTs

1. Mangoes trade volume globally reached 2.6 Million MTs, valued at 3.7 Billion USD

2. Africa's international mangoes trade accounts to only about 4.0% of the global trade, and favouring exports than imports

3. That is, Africa's total exports for Mangoes averaged 106,000 MTs, compared to imports which averaged 30,500 MTs

4. Globally, Mexico is the leader in exports of mangoes followed by Thailand

5. On the other hand, USA is the leading importer by volume followed by Netherlands and then Germany

6. Unfortunately, Africa continues to record high Post-Harvest Loss (PHL) for agricultural products

7. Specific to mangoes, post-harvest loss remains high, with countries such as Malawi recording a PHL of up to 60%

8. That is, of every 10 mangoes harvested in Malawi, nearly 6 of them get lost; either before or after harvesting, during transport or even at the market

9. Kenya too experiences high PHL, with KARLO estimating a high of 40%-50%
 
Kweli Bei za umeme ni kubwa ,lakini energy mix muhimu , ukija ukame wa maana utakuwa wa kwanza kulia
Unapoongelea suala la energy mix hapa akili lazima itumike.Hatuwezi kusema tu energy mix bila malengo, mfano unaacha kutumia coal au uranium,alafu unatumia umeme wa gharama wa jua na upepo kisa tu kuna neno linaitwa energy mix.

Kiukweli lazima kuwe na back up ya hydro. Lakini hio backup inabidi iwe ya gharama Nauru ili viwanda vikue.
 
Mkuu, unapotaja uranium, upo serious au unatania?, hata shirika la kimataifa linaloshughulikia mambo ya nuclear haliwezi kutoa kibali kwa Tanzania kuwa na vinu vya "nuclear". Hivi unajua ilivyo vigumu "in handling and disposal of radioactive materials?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom