game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,056
- 26,336
KKenya
Kenya competes at world stage
Jana gold nne zimekuja Kenya.
Which tournaments?
KKenya
Kenya competes at world stage
Jana gold nne zimekuja Kenya.
Huyu apumzike sasa, hii serikali yake inafanya kazi 90% is to build trust, ukiona Rais kila saa anasema mniamini jua huyo tapeli
part ya game mzee bado round ya pili hata watani wakitolewa though nchi kama nchi tushaweka alama ya mpira wetu pale we are proud of them aka watani zetu.Mbona hamtupi matokeo!??
View attachment 2638327
yees wapi mombasani ukabila unawarudisha sana nyuma mnapia hatua 5 ukabila unawarudisha nyuma 7.
Nabii 🤪😆😆HUYU NAYO SIWEZI MTETEA,,,VERY CLUELESS ....In a year he shall have sunk The great Kenya bigtime
Energy mixBado bei za umeme no kubwa sana.Chaajabu,wanajenga huo umeme wa jua ambao ni wa gharama kubwa.
Utawezaje kuwa na ukuaji wa viwanda kama bei za umeme ni Juu? Kwanini tusiwaige wachina wanaojenga mabwabwa ya hydro electric kila mwaka? Hivi watanzania tumerogwa?