Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Energy mix
Ukishakuwa na energy mix unapata Nini?

Na kama energy mix inaumuhimu sana,kwanini hio energy mix isifanyike katika vyanzo vya umeme wa bei ya chini kama nuclear au angalau coal?
Nilichogundua ni kuwa,wabongo wengi hamjui Nini ķifanyike ili kuondoa umaskini nchini, ndio maana unakuta mtu anashangilia umeme wa jua au upepo ambao ni kutwika watu mzigo ya gharama za bili ya umeme.
Tanzania iliyojaa mito, kwanini tusijenge mabwabwa Zaidi? Ninani ananufaika na bei kubwa za umeme kama si viongozi na vikampuni uchwara vya kipigaji?
 
Energy security
 
HUYU NAYO SIWEZI MTETEA,,,VERY CLUELESS ....In a year he shall have sunk The great Kenya bigtime

"Tutaweka billioni hamsini kwa hawa Bodaboda na Mama Mboga tutawatoa kwa CRB ... Si namna hiyo?..Hiyo pesa itakuwa bila interest...si namna hiyo wangwana? Acha nione kwa mikono..mikono..mikono......mikoo salaaale.... kumbe nyinyi ni watu wangwana sana
 
Hata wiki haijapita ,Wakunya wameanza kulia lia baada ya kiminyo Cha Wizara ya Kilimo 😁😁😁😁
Screenshot_20230529-135940.jpg

Nendeni Zambia mlikosema mtanunua au kuagiza GMO mbwa nyie
 
"Tutaweka billioni hamsini kwa hawa Bodaboda na Mama Mboga tutawatoa kwa CRB ... Si namna hiyo?..Hiyo pesa itakuwa bila interest...si namna hiyo wangwana? Acha nione kwa mikono..mikono..mikono......mikoo salaaale.... kumbe nyinyi ni watu wangwana sana
We were conned big tyme...Uhuru had warned us but some thought they know better
 
Bado bei za umeme no kubwa sana.Chaajabu,wanajenga huo umeme wa jua ambao ni wa gharama kubwa.
Utawezaje kuwa na ukuaji wa viwanda kama bei za umeme ni Juu? Kwanini tusiwaige wachina wanaojenga mabwabwa ya hydro electric kila mwaka? Hivi watanzania tumerogwa?
Wizara iko chini ya wapiga madili tegemea hvo
 
most tanzanians can't even afford to buy ksh 300k house..
Mnatoa wapi ujasiri wa kushindana na sisi kujenga nyumba ili hali hamna ardhi kabisa ardhi ni ya watu wachache huko kwenu na foreigners

Wengi mmejazana Nairobi slums hasa kibera . Largest slums in Africa kibera na Mathare halafu inafuatia ajegunile in Nigeria unajua ni kwa nini ? hivi maeneo kama pipeline estate ni ya kukaa binadamu ?

Na nyie ndio mlitaka azimio la pamoja la ardhi la Afrika mashariki ili sababu hamna ardhi

Mfano hata leo Tanzania iruhusu dual citizenship wengi wenu mtakimbilia huku
 
Back
Top Bottom