Mkuu, usijisumbue kichwa yako, hakuna lolote hapa linaloendelea ni mikutano ya kawaida na kupiga picha tu, jiulize nini kilichosababisha kusambaratika kwa CoW?. Nini kilichosababisha Kenya kushindwa kufikisha reli Yao Malaba hadi Leo?
Tanzania has since registered stunning progress in the development of over 4,000 km of standard gauge railway line as Kenya, Uganda, and Rwanda grapple with financial challenges.
Hii hapa juu ndio sababu kubwa ya SGR ya Northern corridor kushindikana, jiulize hiyo sababu imekwisha au bado ipo?.
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app