The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Adui mkubwa wa Yanga ni mvua, hata siku ile na Simba mvua iliponyesha tu nikajua hatutoboi.Naweka 50/50.. leo mmefeliwa na mvua na hali ya uwanja kutelezateleza.. adui alijiandaa na hali yoyote. Nyie hamkujiandaa na ishu ya mvua au uwanja kuteleza. Ila mpira mlipiga fresh 100%