Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Waswahili wameshindwa kuwa wastaafabu

Haya yote wameyataka viongozi wa yanga hawajaweka utaratibu mzuri wa ticket mambo ya ovyo kabisa ticket zinanunuliwa na wachache alaf wanakwenda kupandisha bei ovyo ovyo watu wanatapeliwa ovyo pale nje ya uwanja na kuna kampuni inaitwa faras wamewatapeli wananchi nje pale alaf serekali iko inaangalia tu, tunashindwa kujifunza kwa wenzetu ulaya huko namna ya kukata ticket
 
Ninkutafuta hao viongozi na kuzabua makofi yaani mtu mweusi kwenye tamaa ndogo ndogo ndio akili yake imeishia hapo.
 
Hizi hutaki sio ama umekasirika.?
IMG_20230528_173407.jpg
 
Back
Top Bottom