Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ona Tabloid ya Kenya inavyomuongelea jamaa. Bosi wa Lakeoil. Halafu wao ndo wanakuja hapa kusema tunawafatilia.

Hivi hapa bongo kuna watu wangapi wanamjua Awadh. Jamaa kaamua kuishi maisha yake kimya kimya . Inawezekana akawa maarifu zaidi Kenya kuliko hapa!

Wataanza kusema Mkenya sasahivi!!

 
Kazi Iendelee
20230528_104329.jpg
 
Back
Top Bottom