China ilitawaliwa Kama ilivyotawaliwa Africa, Kumbuka historia ya Mfalme Leopard wa Ubelgiji alivyotawala DRC, alichukua Mali zote na kufanya udhalimu mkubwa, kwahiyo hata China ilidhulumiwa Kama tulivyodhulumiwa sisi waafrika, Kumbuka enzi hizo hakukuwa na marufuku au uharamu wa bidhaa yoyote Ile, iwe ni madawa ya Kulevya, binadamu wazima au hata viungo vya binadamu, biashara zote zilifanyika katika makoloni yote.
Jambo la kuishangaza ni kwamba baada ya ukoloni, China na nchi zingine zilizotawaliwa, zilijipanga na kuangalia madhahifu Yao yaliyosababisha kutawaliwa na kunyanyaswa na kuyarekebisha, Africa na nchi zingine badala ya kukaa na kujitathmini madhahifu Yao, tumebaki kuwalalamikia wazungu kwa mapungufu yetu wenyewe.
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app