Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hadi sasa majirani mnatudai nn tena?
20230320_162340.jpg


Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Hapana, Rwanda teyari kulikuwa na ugomvi kati ya koo mbili za Hutu na Tutsi. Sasa eastern congo kuna madini na ili madini yatoroshwe vizuri ilibidi kuwe na machafuko.

Kwa kuwa RPF chini ya Kagame teyari walikuwa na ambitions za kutawala, 'wakawezeshwa' na kuipindua serikali ya Habyarimana na kutengeneza mauaji ya kimbari.
Mkuu, soma vizuri historian ya Eastern DRC kwa undani, huko Northern Kivu Wala siko kunakotoka madini. Huko ni swala la Banamulenge kutokubaliwa na wenyeji na kutakiwa kurudi Rwanda, Kumbuka Banyamulenge(watutsi) walikuwepo huko kabla ya 1884.

Mkuu, migogori ya Africa sababu kubwa ni ukabila na Imani za dini, wenzetu wazungu walifanikiwa Sana kuachana na makabila na kupunguza Sana Imani za dini. Hadi waafrika tutakapoachana na ukabila, na kupunguza Imani za dini, tutaendelea kuchapana Kama ilivyo kati ya Israel na waarabu. Wazungu hawahusiki kabisa, tunatafuta sababu tu ya kuhalalisha mapungufu yetu.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hii maneno
COW is back!
Ukiacha YESU, ulishasikia wapi tena mtu aliyekufa akafufuka?. Ninachokiona Mimi ni Uganda kutaka kuunganisha reli yake na "Central corridor", sioni ni vipi mfumo wa Mturuki(European), kuingiliana na Mchina, tena Mchina wa kizamani.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, soma vizuri historian ya Eastern DRC kwa undani, huko Northern Kivu Wala siko kunakotoka madini. Huko ni swala la Banamulenge kutokubaliwa na wenyeji na kutakiwa kurudi Rwanda, Kumbuka Banyamulenge(watutsi) walikuwepo huko kabla ya 1884.
Nilisema mwanzo, ambitious za watutsi kutaka kuitawala eastern Congo zinatumika kama nyenzo na wazungu kuendeleza ukoloni mamboleo Congo.
migogori ya Africa sababu kubwa ni ukabila na Imani za dini, wenzetu wazungu walifanikiwa Sana kuachana na makabila na kupunguza Sana Imani za dini. Hadi waafrika tutakapoachana na ukabila, na kupunguza Imani za dini, tutaendelea kuchapana Kama ilivyo kati ya Israel na waarabu. Wazungu hawahusiki kabisa, tunatafuta sababu tu ya kuhalalisha mapungufu yetu
Migogoro ipo ila inakuzwa na nje ya Afrika. Jamaa zako kwa fitna si mchezo, wanahusika moja kwa moja kuchochea migogoro mingi Afrika kwa kutumia machawa wao wanao rubuniwa na vipesa vichache. Nimekupa mfano hai wa misukosuko aliyoipata Magufuli kule Kibiti na kwenye bwawa la Nyerere ila naona kwa bahati mbaya au makusudi umekuwa unaupotezea.

Nitakupa mfano mwingine wa nje ya Afrika...

China miaka ya 1500s ndiyo ilikuwa nchi yenye uchumi mkubwa duniani. Miaka ya 1700s Waingereza wakawaletea wachina madawa ya kulevya (opium), walipokataa wakawapiga na navy yao iliyokuwa unmatched kipindi kile.

Wachina wakanyang'anywa Hong Kong na Waingereza wakaifanya kuwa kitovu cha kuendesha biashara ya madawa ya kulevya. The Hong Kong and Shanghai banking corporation (HSBC) ilianzishwa ili kuendesha biashara ya opium. Leo hii ndiyo benki kubwa Ulaya, imeichukua China miaka 200 hivi kurudi kwenye status yake ya uchumi mkubwa duniani, sisi Afrika hata hatujafikisha miaka 100 toka kupata uhuru.
 
Back
Top Bottom