Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Bongo tulizindua huu mradi uka trend humu siku kadhaa halafu Wana wakapotezea kama hakijatokea kitu
Sadhani kama Uganda watakubali mzigo wao upite Rwanda. Ugimvi wao bado mkubwa na hawaaminiani kabisa.Nadhani it was designed kufika Uganda kupitia Rwanda. Tz will connect to Rwanda then Rwanda will connect with Uganda making Rwanda a center of goods traffic on that part of the route.
Hata mm napinga kwa nguvu zote huu ujinga.Hii tabia ya kuwapa magari na nyumba viongozi wastaafu sikubaliani nayo na inatakiwa iondolewe kabisa.. hawa viongozi walikuwa ni watu waliokuwa wanachukua mishahara ya juu zaidi kuliko wengine wote kwenye taasisi zao na pamoja na posho kibao na pengine 'walikula sawa na urefu wa kamba zao'.. sasa sioni sababu ya kuwapa hizi zawadi wakistaafu
Huwa nacheka sana nikangalia mazingira yao yalivyo on ground







Sera ya Marekani ni kuchimba kidogo kwake na kununu mafuta mengi nje, hao waliopinga kuharibu mazingira ilikuwa kupinga aina ya uchimbaji unaoitwa fracking (look it up). Husikii wakisema "drill baby drill" kwa sababu Hydraulic Fracturing (fracking) ni ghali sana, bei ya sasa ya mafuta hailipi.Mkuu punguza dhaania, Obama alitaka kuchimba kipindi chake japo kupunguza utegemezi wa nchi za OPEC ambazo zilikua zikipandisha bei kwa Kasi, ulisikia wajumbe wa "Congress" walivyomjia juu kwa kigezo Cha mazingira?, Mkuu unaishi dunia gani?.
Jambo lingine inaonekana mkuu bado hujazunguka Dunia, Egypt inategemea maji ya mto Nile kwa matumizi yake by 98%, Kwao mto Nile ni muhimu "next to Oxygen". Kwahiyo katika hali hiyo unahisi hawana sababu yoyote ya kuulinda huo mto wao wenyewe hadi wazungu ndio wawatumie?. Mkuu inaonekana unawaogopa wazungu hadi unapitiliza.
Mkuu, tulishapata uhuru miaka ya 60s, amka mkuu na achana na kuwawaza wazungu kiasi hicho, mkuu wazungu ni watu wa kawaida mno, usiwaogope hivyo. Umemsikiliza Museven akitaja sababu za vita vingi hapa Africa?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Aliyeanzisha siyo JPM, yeye alitekeleza tuu, mwanzishi ni Mkapa, hii ni baada ya Mwalimu kufariki bila ya kuwa na "jumba la hadhi yake".Hata maraisi sioni sababu ya wao kupewa nyumba ni matumizi mabaya ya fedha za umma pensheni zinawatosha, sasa mtu kama kikwete na mwinyi wanashida gani mpaka wajengewe nyumba huu utaratibu aliounzisha jpm hapa kidogo alifeli