Tukumbuke Wabunge, Marais na Wanajeshi hawalipi kodi!Aliyeanzisha siyo JPM, yeye alitekeleza tuu, mwanzishi ni Mkapa, hii ni baada ya Mwalimu kufariki bila ya kuwa na "jumba la hadhi yake".
Miaka ya tisini jeshi walimtembelea Mwalimu Nyumbani kwake na kumwambia, Mwalimu tunaomba tukujengee nyumba kubwa...". Mwalimu akawaambia, "mnataka kunijengea nyumba kubwa kwani mimi nimekuwa tembo?" Jeshi ndipo walipomjengea ile nyumba ya mawe Butiama.
Sasa Mkapa akaweka sheria ya kuwajengea nyumba za hadhi ya urais, marais wastaafu, ili isije tokea kama kwa Mwalimu. Kiwete na Mkapa hawakutekeleza hiyo sheria. JPM alikuja kutekeleza mipango yote iliyokuwa kwenye makabrasha.
Sielewag wabunge hawalipi kodi wapi?Tukumbuke Wabunge, Marais na Wanajeshi hawalipi kodi!
Nafikiri Mh Bashe (rais mtarajiwa, 🙂) amelielezea vizuri hili kuwa siyo sawa. Wabunge wengine wamekuwa wakiuchuna.Tukumbuke Wabunge, Marais na Wanajeshi hawalipi kodi!
Hawa Wakenya hawatuwezi hata kidogo, basi tu tunaliwazana humu.What else.?. Magufuli bus terminusView attachment 2635652View attachment 2635653View attachment 2635654View attachment 2635656hata tulivyozindua huu mradi, Wana waliupost siku kadhaa halafu wakakausha kama hakijatokea kitu vile.. mwaiofhawaii pitia ujifunze bongo wewe.. View attachment 2635659bongo ni unyama sana, stendi ya daladala kubwa Iko pembeni ya stendi kubwa ya Mabasi .. transportation system ya Bongo ipo very organized ..
CanopyExtended canopy![]()
Ambao hawalipi kodi ni wale wa kisiasa wanaoteuliwa na Rais, pamoja na rais mwenyewe.Nafikiri Mh Bashe (rais mtarajiwa, 🙂) amelielezea vizuri hili kuwa siyo sawa. Wabunge wengine wamekuwa wakiuchuna.
Nmefurahi ulipompa Bashe heshima yake stahiki(the next president)Nafikiri Mh Bashe (rais mtarajiwa, 🙂) amelielezea vizuri hili kuwa siyo sawa. Wabunge wengine wamekuwa wakiuchuna.



UNAJUA WAACHENI WAENDE ZAO AKUNA WA KUTUTISHA APA NCHI INAJITOSHELEZA KWA KILA KITU...RWANDA AND UGANDA ARE GOING WITH THE KENYA SGR![]()
Uganda, Rwanda Resolve to Expedite Kampala-Kigali SGR Project
Uganda and Rwanda have agreed to work more closely to pull off the much-anticipated standard gauge railway (SGR) line connecting Kampala and Kigali. This was disclosed during the SGR cluster meeting held at Mestil Hotel in Kampala on Tuesday morning. Officials from Uganda, Kenya, Rwanda, and...chimpreports.com
KWAKWELI BASHE APEWE MAUA YAKENmefurahi ulipompa Bashe heshima yake stahiki(the next president)![]()
Huyu atatufikisha kanaani.KWAKWELI BASHE APEWE MAUA YAKE
Wamekula chumaBattle ni maneno matupu tuu..
Hakuna miradi mipyaa..
Maneno ya mshakahola mmoja.. View attachment 2635944
Kweli coz nirifurahi alivo wabana wakenya kwenye mahindi paka gidheri ikapandaHuyu atatufikisha kanaani.