MPARE1
JF-Expert Member
- Jul 20, 2021
- 233
- 706
Takwimu ya kuchora unatuletea apa unachekeshaWith our 20% arable land..View attachment 2634825
Takwimu ya kuchora unatuletea apa unachekeshaWith our 20% arable land..View attachment 2634825
Hadithi za mazingira ni agenda tuu inayotumika against nchi za global south.Mkuu, nilikua sitaki kuingilia hilo suala la Magufuli kwasababu ni kitu ambacho nimekizungumza mara nyingi Sana. Tuanze na misukosuko kuhusu bwawa la Nyerere, nadhani unajua wazi kwamba hilo bwawa limekua na upinzani tangu enzi za Nyerere, sababu kubwa ni mazingira, mbona husemi kuhusu upinzani wanapata Uganda na Bomba lao la mafuta kuhusu mazingira, Kenya wamekatazwa kuchimba makaa ya mawe kwa sababu hizohizo.
Hivi hujui kwamba duniani kote Kuna kampeni ya kutunza mazingira haijalishi ni bara gani?, Fuatilia USA ambao ndio nchi yenye deposit kubwa ya mafuta duniani, lakini wanakumbana na upinzani mkubwa Sana wa kuyachimba toka kwa makundi ya wanaharakati wa mazingira, Sasa ikitokea wanaharakati hao wakipiga kelele kwa nchi za Afrika inaonekana ni njama za wazungu.
Jielimishe kuhusu opium war, nchi nyingi za magharibi zilinufaika including Ureno, Ufaransa na Marekani katka biashara hiyo haramu kwa kumiliki bandari kadhaa za China.Kuhusu hilo la China na biashara za madawa ya Kulevya, tafadhali weka ushahidi, hizo ni story tu hakuna ukweli wowote.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mimi nimekuambia kuhusu Marekani wanavyokumbana na vikwazo vya kuchimba mafuta Yao, badala ya kujibu kuhusu Marekani wewe unarukia Ulaya, mjadala ukienda hivi unapoteza ladha.Hadithi za mazingira ni agenda tuu inayotumika against nchi za global south.
Nord stream pipeline ililipuliwa sept mwaka jana, umesikia wakilalamika kuhusu mazingira? Waingereza wamepeleka DU Ukrein ambayo imelipuliwa na warusi wiki iliyopita na kutengeneza mionzi, je umesikia kelele za kuchafua mazingira?
View attachment 2635291
Sasa mbona “waru” nyingi zinazoliwa kenya zinatoka Tanzania!
China ilitawaliwa Kama ilivyotawaliwa Africa, Kumbuka historia ya Mfalme Leopard wa Ubelgiji alivyotawala DRC, alichukua Mali zote na kufanya udhalimu mkubwa, kwahiyo hata China ilidhulumiwa Kama tulivyodhulumiwa sisi waafrika, Kumbuka enzi hizo hakukuwa na marufuku au uharamu wa bidhaa yoyote Ile, iwe ni madawa ya Kulevya, binadamu wazima au hata viungo vya binadamu, biashara zote zilifanyika katika makoloni yote.Hadithi za mazingira ni agenda tuu inayotumika against nchi za global south.
Nord stream pipeline ililipuliwa sept mwaka jana, umesikia wakilalamika kuhusu mazingira? Waingereza wamepeleka DU Ukrein ambayo imelipuliwa na warusi wiki iliyopita na kutengeneza mionzi, je umesikia kelele za kuchafua mazingira?
Jielimishe kuhusu opium war, nchi nyingi za magharibi zilinufaika including Ureno, Ufaransa na Marekani katka biashara hiyo haramu kwa kumiliki bandari kadhaa za China.
Wachina walichukuliwa kama watumwa kwenda hadi Marekani kujenga reli, masalia yao ndiyo hizo China town zilizotapakaa kila mahali Marekani. Usione wachina wakiwa wakali na madawa ya kulevya, wanahistoria mbaya sana ya humiliation na hayo madudu.
View attachment 2635291
Vikwazo vya kuchimba mafuta Marekani si kwasababu ya mazingira bali ni kwaajili ya kuyahifadhi kwa vizazi vijavyo, ndiyo maana sera ni kununua mafuta ya nje. Pia kwa teknolojia ya sasa na soko lililopo kuchima mafuta Marekani ni gharama sana.Mimi nimekuambia kuhusu Marekani wanavyokumbana na vikwazo vya kuchimba mafuta Yao, badala ya kujibu kuhusu Marekani wewe unarukia Ulaya, mjadala ukienda hivi unapoteza ladha.
Umesahau kuhusu Egypt kutumika na west kutaka kulilipua bwawa?Mbona Ethiopia wamejenda bwawa kubwa kuliko hata la Tanzania, mbona hakuwa na kelele za mazingira?. Mazingira ni tofauti toka nchi na nchi, sio lazima Kila nchi Kelele za mazingira ziwepo.
Yaani iwaume kuharibu mazingira ya Tanzania halafu isiwaume kuharibu marine ecosystem ya Baltic sea baada ya kulipua bomba la gesi? You're delusional my friend.Tanzania kulikua na kelele kwasababu hilo bwawa linachukua sehemu ya mbuga muhimu duniani ambayo ni miongoni mwa urithi wa Dunia, huko Ethiopia hakuna mbuga yoyote muhimu inayoathiriwa. Vivyo hivyo, huko Ulaya hakuna hatari ya uchavuzi wa mazingira, lakini Marekani Kuna tishio hilo.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kenya hamuwezi kufanikiwa kuokoa uchumi wenu, You seem to be more comfortable with excuses rather than looking for solution. Hivi Sasa Kila kitu mnasingizia ukame, huu ukame ndio mara ya kwanza kuikumba Kenya?, Kenya Iko na ukame hata kabla ya 1963, nini mumefanya kikabiliana na huo ukame miaka 60 Sasa?.Drought ilimaliza viazi zote, ata sahii hakuna viazikenya.
But from July viazi zitakuwa Hadi zinaozea kwa mashamba,
Viazi zinatoka highlands of rift valley and aberdare.
Nyinyi kila kitu kwenu kimepikwa, haya leteni data zenu za kweli basi. Msichokijua ni kuwa kenya ni wazalishaji na watumiaji wakubwa sana wa maziwa na viazi barani afrikaTakwimu ya kuchora unatuletea apa unachekesha
Mkuu punguza dhaania, Obama alitaka kuchimba kipindi chake japo kupunguza utegemezi wa nchi za OPEC ambazo zilikua zikipandisha bei kwa Kasi, ulisikia wajumbe wa "Congress" walivyomjia juu kwa kigezo Cha mazingira?, Mkuu unaishi dunia gani?.Vikwazo vya kuchimba mafuta Marekani si kwasababu ya mazingira bali ni kwaajili ya kuyahifadhi kwa vizazi vijavyo, ndiyo maana sera ni kununua mafuta ya nje. Pia kwa teknolojia ya sasa na soko lililopo kuchima mafuta Marekani ni gharama sana.
Umesahau kuhusu Egypt kutumika na west kutaka kulilipua bwawa?
Yaani iwaume kuharibu mazingira ya Tanzania halafu isiwaume kuharibu marine ecosystem ya Baltic sea baada ya kulipua bomba la gesi? You're delusional my friend.
Tena hafadhali hizo Nyumba kwa Marais wastaafu kwasababu hilo lilipitishwa na bunge, lakini hawa viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama, ni uamuzi tu wa rais, hakijapitishwa popote pale, kesho anaweza kuwapa magari makatibu wakuu wa chama tawala wastaafu, ni shida Sana.Hii tabia ya kuwapa magari na nyumba viongozi wastaafu sikubaliani nayo na inatakiwa iondolewe kabisa.. hawa viongozi walikuwa ni watu waliokuwa wanachukua mishahara ya juu zaidi kuliko wengine wote kwenye taasisi zao na pamoja na posho kibao na pengine 'walikula sawa na urefu wa kamba zao'.. sasa sioni sababu ya kuwapa hizi zawadi wakistaafu
Hata maraisi sioni sababu ya wao kupewa nyumba ni matumizi mabaya ya fedha za umma pensheni zinawatosha, sasa mtu kama kikwete na mwinyi wanashida gani mpaka wajengewe nyumba huu utaratibu aliounzisha jpm hapa kidogo alifeliTena hafadhali hizo Nyumba kwa Marais wastaafu kwasababu hilo lilipitishwa na bunge, lakini hawa viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama, ni uamuzi tu wa rais, hakijapitishwa popote pale, kesho anaweza kuwapa magari makatibu wakuu wa chama tawala wastaafu, ni shida Sana.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app