Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hi terminal ina akisi mazingira ya Tanzania sio kama zenu zina akisi mazingira ya China. This is what makes them so special and peculiar ukanda huu wote.
Nioneshe hata moja inaakisi mazingira ya china
 
Hii maneno
COW is back!
Naona hapa tukikosa umakini tutavutwa shati..

Inatakiwa nguvu ielekezwe Burundi na DRC huko..

Kuiweka TZ kwenye sentence moja na north corridor ni kujimaliza tu wenyewe. Jina litatumika kukamilisha agenda za Watu.

Na hapa UG haieleweki... Kama wanajenga kuelekea Malaba ni mtihani huo... Na Leo nimeona amejitahidi sana kumvika kilemba cha ukoka mama yetu.

Hapa tunapotezwa tena.... Tulishawashika vizuri sana hawa Watu... Ila saiv mmh...
 
Uzi umejaa utoto ulitarajia nini. Nenda kwenye forums mature utawapata huko
Utoto basi we mkubwa pambana na watoto sasa we ndio auna akili kabisa apa tunakuja na fact akuna mtu awa analopoka na kua muongo kama sio wakenyarrrrrr,,,, jamaaa jinga sana wewe
 
The beautiful iten
FB_IMG_1685043756345.jpg
 
Wanaanza na Dom kisha mwanza
Sama boy 255
Kama DART wataacha wafanye maamuzi Kwa mlengo wa kibiashara Ili wapate faida ni obvious baada ya Dar,Dart inatakiwa kuanza kujengwa Mbeya,waanzie pale Songwe Airport.

Ila kutokana na siasa uchwara na upuuzi wataanza Dom ambako hawawezi pata faida maana Dom Ina njia nyingi za kufika Mjini tofauti na Mbeya..
 
Back
Top Bottom