Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Okay nimeelewa sijui kwanini UG imedecide kuchukua the route lakini labda wanaona ndo fupi na less time consuming kuliko yetu yakutumia wagon Ferries , looks like tumemkosa UG tayari
Hapana nahisi ule ni mtego kwa wakenya ili waanze ujenzi anawapima aone kama wataanza ujenzi au laa kuna kitu kimejificha sana hapo
 
Nilisema mwanzo, ambitious za watutsi kutaka kuitawala eastern Congo zinatumika kama nyenzo na wazungu kuendeleza ukoloni mamboleo Congo.

Migogoro ipo ila inakuzwa na nje ya Afrika. Jamaa zako kwa fitna si mchezo, wanahusika moja kwa moja kuchochea migogoro mingi Afrika kwa kutumia machawa wao wanao rubuniwa na vipesa vichache. Nimekupa mfano hai wa misukosuko aliyoipata Magufuli kule Kibiti na kwenye bwawa la Nyerere ila naona kwa bahati mbaya au makusudi umekuwa unaupotezea.

Nitakupa mfano mwingine wa nje ya Afrika...

China miaka ya 1500s ndiyo ilikuwa nchi yenye uchumi mkubwa duniani. Miaka ya 1700s Waingereza wakawaletea wachina madawa ya kulevya (opium), walipokataa wakawapiga na navy yao iliyokuwa unmatched kipindi kile.

Wachina wakanyang'anywa Hong Kong na Waingereza wakaifanya kuwa kitovu cha kuendesha biashara ya madawa ya kulevya. The Hong Kong and Shanghai banking corporation (HSBC) ilianzishwa ili kuendesha biashara ya opium. Leo hii ndiyo benki kubwa Ulaya, imeichukua China miaka 200 hivi kurudi kwenye status yake ya uchumi mkubwa duniani, sisi Afrika hata hatujafikisha miaka 100 toka kupata uhuru.
Msikilize Museven kuhusu sababu kuu ya vita vinavyoendelea katika nchi za Afrika


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sidhani kwa kiasi kikubwa inapaswa tuwe na reli ya kutoka Isaka kwenda Kampala! Na hii mambo ya ushirikiano wa hydropower projects tunapaswa pia operating plants ziwe upande wetu pia!
Yeah i was thinking of this to roughly 700km From Isaka to Kampala , it would be advantageous kwetu cause tunaweza mconnect kiurahisi na Rwanda kama branch ya Isaka to Kampala , though it will be costful thats the way of getting Uganda and Rwanda , though might cost hata 3 to 4bn usd roughly

Our focus now seems to be Burundi and DR Congo , and maybe Mtwara to Mbamba bay
 
Back
Top Bottom