Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeongelea kitu tofauti na nilichokisema, hapa si suala la kutukuza wazungu bali kuelewa jinsi wanavyo operate na kuja na solution.

Waafrika tuna matatizo yetu lakini pia tunafanyiwa songombinde nyingi. Kutatua matatizo ya wakina Odinga ni pamoja na tuutokomeze ukoloni mamboleo.

Umepngelea Rwanda kuchinjana, lakini hujuilizi ni nani aliyewapa wakina Kagame silaha za kuipindua serikali ya Rwanda miaka ya tisini?

Nimekupa mfano wa mshike mshike aliofanyiwa Magu, mpaka tukawa na magaidi kibiti, ni nani aliyewaleta hao jamaa? Mbona sasa hawapo kwa Samia?
Kwahiyo mkuu, akilini mwako unaamini kabisa kwamba kilichosababisha wanyarwanda kuchinjana ni wazungu?, Kweli mkuu?.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo mkuu, akilini mwako unaamini kabisa kwamba kilichosababisha wanyarwanda kuchinjana ni wazungu?, Kweli mkuu?.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hapana, Rwanda teyari kulikuwa na ugomvi kati ya koo mbili za Hutu na Tutsi. Sasa eastern congo kuna madini na ili madini yatoroshwe vizuri ilibidi kuwe na machafuko.

Kwa kuwa RPF chini ya Kagame teyari walikuwa na ambitions za kutawala, 'wakawezeshwa' na kuipindua serikali ya Habyarimana na kutengeneza mauaji ya kimbari.
 
Sama boy 255
Kama DART wataacha wafanye maamuzi Kwa mlengo wa kibiashara Ili wapate faida ni obvious baada ya Dar,Dart inatakiwa kuanza kujengwa Mbeya,waanzie pale Songwe Airport.

Ila kutokana na siasa uchwara na upuuzi wataanza Dom ambako hawawezi pata faida maana Dom Ina njia nyingi za kufika Mjini tofauti na Mbeya..
Hivi kwanini mnapenda hii mibasi yenye moshi itembee kila mji?
Fikirieni kuwa na treni za umeme toka songwe mbalizi hadi town na kuwe na tawi hapo simike kuelekea mwanjelwa hadi uyole
 
We jamaa wa yues 🤣🤣
I have just accepted that life’s too short to worry about what others do in their private life or their bedrooms as long as it doesn’t affect me…. Coz getting involved will not add any value to my existence….there are other vital causes I can do that are better for humanity like feeding the hungry… Whom you sleep with is none of my business….period!
 
Like Darasa’s song says…. Mind yo buzziness…..!!!… nice tune…
 
UGANDA imetangaza kuwa kampuni ya Uturuki itaanza kujenga reli ya kisasa ya Standard Gauge (SGR) kutoka Kampala hadi Malaba mnamo Agosti kwa gharama ya karibu $2 bilioni sawa na Shilingi za Uganda trilioni 7.45.

#HabarileoUPDATESView attachment 2634144
Hii maneno
Northern corridor Intergration Projects(NCIPC), hii maana yake nini, wanataka ku- integrate na nani?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
COW is back!
 
Limited edition
IMG_3165.jpeg
IMG_3164.jpeg
IMG_3163.jpeg
IMG_3162.jpeg
 
Back
Top Bottom