Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,880
- 32,656
Sio mmenyamaza bali mmenyamazishwa🤣Nyinyi ni watu wa mdomo tu na sisi tumenyamaza ndo maana unaona hivo
Sio mmenyamaza bali mmenyamazishwa🤣Nyinyi ni watu wa mdomo tu na sisi tumenyamaza ndo maana unaona hivo
Mnalimia wazungu na mtakula chai sasa.. alafu apo akuna jipya ata zt ayo mashamba yapo
We muulize mmiliki ni nani kama sio mzungu basi politician mkubwa sana 😆😆😆Mnalimia wazungu na mtakula chai sasa.. alafu apo akuna jipya ata zt ayo mashamba yapo
Nyinyi ni watu wa mdomo tu na sisi tumenyamaza ndo maana unaona hivo
Na watakula chai zao izo na yale maua ase kenyani qumaniner 😁 😁We muulize mmiliki ni nani kama sio mzungu basi politician mkubwa sana 😆😆😆
Nyinyi ni watu wa mdomo tu na sisi tumenyamaza ndo maana unaona hivo
Wanataka kujua experience ya TRC katika kujenga reli ya stima na financing model iliyotumika. Maana Uganda opted for electric rail Arema standard na European train control system sasa integration na diesel powered nginjanginja ambayo siyo continuous welded chinese class I na design speed ya 80/120 hapo compatibility itakuwa ngumu sana.Northern corridor Intergration Projects(NCIPC), hii maana yake nini, wanataka ku- integrate na nani?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mbona JKUAT ni donation pia?Haha hiii ni Ile library ya donation mnajivunia kutoka china?
Canopy taking shape




Nionyeshe basi la stima hapo Dar.BRT gani iyo aina sehemu yake si uite matatu tu apo alafu ya umeme uku yapo sana adi private car kuna za umeme na gas adi solar sa sijui apo upya wa kututisha upo wapi... alafi AINA sifa ya kuitwa BRT iteni matatu... in tz kuna bus adi za gas zinakuja aseee toa uchafu umu 😁 😁 🤣 🙄😡
Hizi stations zetu ziko aesthetically designed kulingana na mazingira yetu sio kama zile structures kutoka Gobi desert shaolin temples.
Tumenyamazishwa na nini haswa?Sio mmenyamaza bali mmenyamazishwa![]()
What's so special na hii terminal yenu inawapea orgasm hivo. Kenya ina terminals kuliko hizi zenu
Mlivyokuwa na midomo hivyo mnyamaze hivi hivi bila kunyamazishwa!!!!!Nyinyi ni watu wa mdomo tu na sisi tumenyamaza ndo maana unaona hivo
Uzi umejaa utoto ulitarajia nini. Nenda kwenye forums mature utawapata hukoMlivyokuwa na midomo hivyo mnyamaze hivi hivi bila kunyamazishwa!!!!!