Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sama boy 255 Naendelea kukusugua
Screenshot_20230522-134826_2.jpg
 
Hiyo ita fall under bilateral agreement tutaweka clause ngumu na wao waweke hivyo hivyo.
Mkuu, Kenya tunaweza kuitingisha, vipi kuhusu China, India, na mataifa yenye nguvu kiuchumi ambayo hata viza tumeshindwa kuwawekea wanakutana nayo Airport?.

Kama hivi Sasa tunalalamika wageni kuchukua kazi za wazawa, Je tukiruhusu wachina na wahindi kuwa na uraia wa Tanzania, hivi Kuna hata mtanzania atakeyepata kazi ya udereva au hata kuchoma chips?, watajaa wachina Kila eneo, rejea sakata la wakenya juzi walipogomea "China square".
 
Kuhamisha na kujenga majengo ya serikali Dodoma ni wastage ya pesa wakati wanafunzi hawana madarasa na umaskini umezidi kupindukia. Mambo ya kiserikali 21st century yanafanywa online huku Kenya sio kuandamana kwa capital city kila wakati.
 
Kuhamisha na kujenga majengo ya serikali Dodoma ni wastage ya pesa wakati wanafunzi hawana madarasa na umaskini umezidi kupindukia. Mambo ya kiserikali 21st century yanafanywa online huku Kenya sio kuandamana kwa capital city kila wakati.
Kwanini na maandamano msifanye "online?"
 
In Kenya the media is negative. The Kenyan people are negative and always wants more. That is why many things are not known to world.

Take example, Kenya is completing the longest dual carriageway in East and Central Africa silently. Passing through villages
Screenshot_2023-05-22-20-25-50-66_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg
Screenshot_2023-05-22-20-26-25-87_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg
Screenshot_2023-05-22-20-26-34-26_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg
Screenshot_2023-05-22-20-27-24-87_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg
 
Nairobi to Mau Summit over 200km of dual carriageway is in the works as we speak. Mombasa to Nairobi is in the pipeline but this one will be under ppp
 
Back
Top Bottom