Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya is doing a very extensive road project at the Coast. This road project is dual and has very long ocean bridges but no one talks about it. Mwache bridge was completed a week ago.
View attachment 2631591View attachment 2631592View attachment 2631594
Alaf ndio hii 😆😆😆 hii ni ocean au river??
20230522_205116.jpg
 
Mkuu, Kenya tunaweza kuitingisha, vipi kuhusu China, India, na mataifa yenye nguvu kiuchumi ambayo hata visa timeshindwa kuwawekea wanakutana nayo Airport?.

Kama hivi Sasa tunalalamika wageni kuchukua kazi za wazawa, Je tukiruhusu wachina na wahindi kuwa na uraia wa Tanzania, hivi Kuna hata mtanzania atakeyepata kazi ya udereva au hata kuchoma chips?, watajas wachina Kila eneo, rejea sakata la wakenya juzi walipogome "China square".
Si hivyo.Ufaia pacha ni kwamba mgeni aliyekuja Tanzania na kutimiza masharti yote ya kuwa mTanzania ( kama kuishi nchini kwa miaka kadhaa),akitimiza vigezo anapewa uraia ambapo katika uraia pacha hatakuwa na haja ya kuukana uraia wake mwingine.
Sasa hao wachina watajaa vipi.Na kwanini wasijae afrika kusini Ambayo ina ruhusu uraia pacha? Na kumbuka Africa kusini inauchumi mkubwa na maisha bora kuliko Tanzania.
Na isitoshe,hao wachina hawana haja sana na kazi za kibongo. Mishahara midogo huku TZ.
 
Kwahio mgonjwa anatibiwa online? Raisi analala online? Chakula mnapika online?
FRIEND,
Kuhamisha Makao makuu toka Dar es salaam was a great move. Ila Dodoma wasn't the best area for a capital. I think Iringa was more suitable. The weather,soil structure and the locals are the best comparing with Dodoma
Kuhamisha na kujenga majengo ya serikali Dodoma ni wastage ya pesa wakati wanafunzi hawana madarasa na umaskini umezidi kupindukia. Mambo ya kiserikali 21st century yanafanywa online huku Kenya sio kuandamana kwa capital city kila wakati.
 
Kuhamisha na kujenga majengo ya serikali Dodoma ni wastage ya pesa wakati wanafunzi hawana madarasa na umaskini umezidi kupindukia. Mambo ya kiserikali 21st century yanafanywa online huku Kenya sio kuandamana kwa capital city kila wakati.
Wacha wivu wewe
 
Gulfstream G550 itakuwa inatambaa hapo bila wasiwasi nadhani itakuwa ni mojawapo ya Ikulu chache sana duniani yenye private runway.
Safi sana, hakuna habari ya Rais kukimbiakimbia airport na motorcade akitaka kupaa, alafu hizo rest houses za viongozi wa East Afrika na SADC si Rais wa Kenya atakuwa anakuja kulala humo kila wiki?😂😂😂
 
🤣🤣🤣🤣🤣 wameiba mpaka ATM za equity bank na pia niliwaambia arable lands zinamilikiwa na wazungu na hii ni moja wapo mashamba ya chai kericho ni mali ya mzungu




Na wameiba kila kitu 🤣🤣🤣🤣
Screenshots_2023-05-22-22-22-13.png

Screenshots_2023-05-22-22-23-23.png

Screenshots_2023-05-22-22-24-03.png
Screenshots_2023-05-22-22-24-57.png

Screenshots_2023-05-22-22-26-15.png






Wengine wanaiba mpaka meza na stool aisee hii nchi ina njaa kweli 🤣🤣
Screenshots_2023-05-22-22-26-53.png
 
Kuhamisha na kujenga majengo ya serikali Dodoma ni wastage ya pesa wakati wanafunzi hawana madarasa na umaskini umezidi kupindukia. Mambo ya kiserikali 21st century yanafanywa online huku Kenya sio kuandamana kwa capital city kila wakati.
Sijaongea mimi ni WB. Porojo peleka Mathare na pipeline

Screenshot_20230522-230943_Opera.jpg
 
Back
Top Bottom