Marcelly
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 3,152
- 9,571
Na bado sasa Sgr JNHP
Imekua gumzo yani hawalali wanalia mitandaoni tu😆😆😆😆😆
Imekua gumzo yani hawalali wanalia mitandaoni tu😆😆😆😆😆
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 Nakunya hapa hadi kwetu TangaWewe ni mjinga sana… hii ni US Congress ( Parliament Yao)…..inaitwa Capitol Hill coz iko capitol City Washington DC…. sio ikulu …. Ikulu ni the White House kama vile Kimbg alisema…I have been to DC … White House ni ndogo kuliko state house Nairobi….. sometimes size doesn’t matter but the prestige of the building…. I bet Nairobi State House carries more weight than that Chamwino Mosque…🤣🤣🤣🤣
Freedom of media…. Can your media make fun of mama and get away with it?…Please answer like a mentally grown up human being….🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌View attachment 2630743
The building looks great, but they need to hire a renowned landscape architect to transform the building’s surroundings.Hii kitu imewauma sana lakini mm nashangaa bado kuna miradi zaidi ya 200 inakuja sijui watakua kwenye hali gani??😆😆 View attachment 2630725View attachment 2630726View attachment 2630727View attachment 2630728View attachment 2630729
Tutapoteza pesa nyingi Sana kuliko hizi. Wageni wote wanaotaka kuwekeza au kufanyakazi nchini wanalipa pesa nyingi Sana, kukiwa na "dual citizenship", hizo pesa hatutozipata, ni pesa nyingi sana.Now imagine the benefits if the country permitted dual citizenship.
Tanzania is far ahead of Kenya in rankings of democracy.Freedom of media…. Can your media make fun of mama and get away with it?…Please answer like a mentally grown up human being….![]()
I doubt it. Si kila mgeni anayekuja Tanzania anahitaji kuwa mtanzania. Wengine wanakuja kufanya shughuli zao na wanalipa fees Kwa kadri ya sheria zisemavyo.Tutapoteza pesa nyingi Sana kuliko hizi. Wageni wote wanaotaka kuwekeza au kufanyakazi nchini wanalipa pesa nyingi Sana, kukiwa na "dual citizenship", hizo pesa hatutozipata, ni pesa nyingi sana.
Yes in CCM rankings..🤣🤣..I thought you are more communist than a democracy…. A true Democracy does not involve one party autocratic rule….You have had one party rule since independence….. TANU is CCM….same animal just different clothes.. 🤣🤣🤣🤣Tanzania is far ahead of Kenya in rankings of democracy.
Rwanda wamerudi Northern corridor!Mkuu, kwanza hiyo habari ya Uganda kusaini na Yerp markezie Wala haina maana sana, muhimu ni kupatikana kwa pesa, sioni Uganda kupata hiyo pesa kwasababu hakuna muunganiko na Kenya.
Sababu zilizosababisha China kutoendelea kuwakopesha Kenya, ndio hizo hizo zitakazotumika kuinyima Uganda.
Kuhusu Rwanda kuchelewa ujenzi wake, hilo sio tatizo, muhimu ilikua ni kuwatoa Rwanda kutoka Northern corridor, jambo ambalo tumefanikiwa, hivi Sasa Rwanda imejiunga kwetu, hata wachelewe kujenga lakini tayari hawawezi tena kurudi Northern corridor. Uganda ndiyo nchi yenye shida kwa Sasa.
Eldoret townView attachment 2630723
You beat me to it…. Now you know why KDF is treading carefully against M23 …. As I said before, there are many National interest issues pertaining to Kenya, DRC and Rwanda……the only common thing is we all want peace and security but varied interests…..DRC is not our neighbor…. You don’t think we just packed our bags and troops and headed there because Kenya was threatened…. Definitely not…leave .Political economy and Foreign Policy alone… it’s way above your comprehension….🤣😂😂😂Rwanda wamerudi Northern corridor!