Nchi ya fujo Kila Kona ya nchiKumekucha [emoji38][emoji38][emoji38]
Ukiwa mtanzania lakini ukawa ni raia wa nchi nyingine hapa Tanzania wakijua wanakufutia uraia sasa ukitaka kuja nchini kwenu au kuwekeza wana ku treat kama foreigner zile benefits za locals hupati na pia ukiishi nje ya nchi na passport yako ya Tz kuna benefits nyingi utazikosa kama access to capital na investment maana you will be treated as a foreigner pia so dual citizenship is a must and should be implemented first to Tanzanian nationals then to foreigners after thorough scrutiny to filter out bad elements in the process.I doubt it. Si kila mgeni anayekuja Tanzania anahitaji kuwa mtanzania. Wengine wanakuja kufanya shughuli zao na wanalipa fees Kwa kadri ya sheria zisemavyo.
Wale wanaohitaji kuwa nationals Mara nyingi wana spouse mtanzania au ni watoto ambao mzazi wao mmoja ni mtanzania. Unaona ni Sawa kuwazuia hawa watu uraia?
Kaka hapo kwenye maboresho ya BRT awamu ya kwanza, na kwamba kuna upanuzi, ni upanuzi wa nini kaka heb nifungulie hapo..
Slums lives matter!Na sio kibera lives matter?
naunga hoja😂😂😂😂 Unaweza potea, Talking about phase 3 hili eneo hapa azam linahitaji artist mmoja wa kipekee, limekaa kimkakati sana na ni moja ya city's vibration iliokosekana Dar View attachment 2630272
View attachment 2630278View attachment 2630279
Sifaham exactly, lakini ni upanuzi uliopelekea watu waliojenga kando ya barabara ya kutoka Ubungo hadi Kimara kubomolewa nyumba na vibanda vyaoKaka hapo kwenye maboresho ya BRT awamu ya kwanza, na kwamba kuna upanuzi, ni upanuzi wa nini kaka heb nifungulie hapo..
Tatizo linaanzia hapo, ukisharuhusu dual citizenship, huwezi kubagua kati ya raia wako na raia wa nchi zingine. Kama wakenya wanawapa watanzania heshima ya kupata uraia, basi heshima hiyohiyo inabidi wapewe raia wa Kenya wanaotaka uraia wa Tanzania, ukionyesha aina yoyote Ile ya ubaguzi, unakutana na mkono wa serikali Yao.Ukiwa mtanzania lakini ukawa ni raia wa nchi nyingine hapa Tanzania wakijua wanakufutia uraia sasa ukitaka kuja nchini kwenu au kuwekeza wana ku treat kama foreigner zile benefits za locals hupati na pia ukiishi nje ya nchi na passport yako ya Tz kuna benefits nyingi utazikosa kama access to capital na investment maana you will be treated as a foreigner pia so dual citizenship is a must and should be implemented first to Tanzanian nationals then to foreigners after thorough scrutiny to filter out bad elements in the process.
There should also be a special clause for Kenyans who want to take Tanzanian citizenship in which a rigorous procedure must be in place.
Wapi Kunyaland BRT?
Ya Dsm
Na hapo SGR haijaanza kufanya kaziBandari ya Dar es salaam imeipiku bandari ya Mombasa Kwa "efficiency"
mpya ya Benki ya Dunia
View attachment 2630924
AFPCopyright: AFP
Bandari za Dar es Salaam, Djibouti na Berbera zimeipita Mombasa katika orodha ya hivi punde ya Benki ya Dunia kwenye bandari zenye ufanisi zaidi, ikionyesha hofu ya ushindani ambayo Kenya imekuwa nayo juu ya Tanzania kuwa njia inayopendelewa kwa wasafirishaji.
Toleo la tatu la Matokeo ya Utendaji kazi wa Bandari ya Kontena duniani limeweka bandari ya Mombasa katika nafasi ya 326 mwaka wa 2022 kati ya bandari 348 duniani kote ambazo zilitathminiwa, nyuma ya bandari hizo za Afrika mashariki.
Bandari kuu ya Kenya ilirekodi kushuka kwa kasi kutoka kwa ripoti ya 2021 ambapo iliwekwa katika nafasi ya 296 na Benki ya Dunia.
Bandari hizo zimeorodheshwa kulingana na ufanisi wao, unaopimwa na muda uliopita kati ya wakati meli inafika bandarini hadi kuondoka kutoka kwenye kituo ikiwa imekamilisha kubadilishana mizigo.
Benki ya Dunia inabainisha kuwa uendeshaji mzuri wa bandari hiyo ni muhimu kwa maendeleo ya biashara katika eneo hilo, ikisema kuwa kumekuwa na uboreshaji mkubwa katika biashara tangu 2020 wakati sekta ya usafiri wa baharini ilirekodi shughuli zilizopunguzwa kutokana na janga la Covid-19.
"Kuboresha ufanisi wa bandari ni muhimu kwa kufungua ukuaji na maendeleo ya Afrika," alisema Martin Humphreys, mwanauchumi mkuu wa usafiri katika Benki ya Dunia.
"Bandari za Afrika ni lango muhimu kwa biashara na uendeshaji bora unachangia usalama wa chakula. Uendeshaji wao wenye ufanisi ni kigezo muhimu cha kuamua ikiwa Afrika itafikia uwezo wake wa kiuchumi."
Haya yanajiri wakati Bandari ya Dar es Salaam ya Tanzania katika miaka ya hivi karibuni imekuwa na ushindani mkubwa, na kutishia kuvuta meli nyingi zinazoingia katika bahari ya Afrika Mashariki kwenye bandari yao.
Katika orodha hiyo, bandari ya Tanzania ilirekodi kuimarika kutoka nafasi ya 2021 hadi kushika nafasi ya 312 kutoka 361 ya awali.
Takwimu kutoka Ofisi ya Kitaifa ya Takwimu ya Kenya (KNBS) zinaonyesha kiasi cha mizigo inayohudumiwa na bandari ya Mombasa kilishuka kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka mitano mwaka wa 2022, huku wadau wakiashiria kuongezeka kwa ushindani kutoka Dar es Salaam.
Jumla ya shehena ya mizigo bandarini ilipungua hadi tani milioni 33.74 mwaka jana kutoka tani milioni 34.76 mwaka uliopita, kulingana na KNBS.
Kushuka kwa asilimia 2.93 kwa mwaka kulifanya idadi hiyo kuwa ya chini kabisa tangu 2018 ilipofikia tani milioni 30.92.
As we already told you… the size of Dar you always display here ni same na size ya Westlands…. Fact!
Wacha Ujinga!… you know the mama I meant… SSH…. Or is it a crime in Bongo to criticize your president?… please enlighten me….😂😂Would you be happy if someone made fun of your mama in public just to chase clout!?
Wewe ni mwafrika acha ujinga!! Jielewe, jitambue.
Hawa jamaa hawawezi kuwa serious haka kamtumba kamoja kweli?! sijui kanabeba watu wa ngapi kwa mara moja kaende karudi huu ni upigaji wa waziwazi!$68B zimechakatwa hapa 😃😀😅
Wakuu hii ni garimoshi au garivumbi? 🤣🤣🤣
View attachment 2630550View attachment 2630552
Upanuzi wa njia kutoka nne kuwa sita hususan kipande cha kimara ubungoSifaham exactly, lakini ni upanuzi uliopelekea watu waliojenga kando ya barabara ya kutoka Ubungo hadi Kimara kubomolewa nyumba na vibanda vyao
Na hapo bado ujenzi wa majengo mengine na upandaji miti na ustawi bado upo njianiHii kitu imewauma sana lakini mm nashangaa bado kuna miradi zaidi ya 200 inakuja sijui watakua kwenye hali gani??[emoji38][emoji38] View attachment 2630725View attachment 2630726View attachment 2630727View attachment 2630728View attachment 2630729
Hahaha, hawa walijaribu kumtishia nyau Jiwe, sijui Kama hata walitia mguu.