Hakuna sheria kwao yani ujenzi ni holela tu alaf ujenzi wao mara nyingi ni wamagumashi sana hua wanachanganya mpaka na udongo kuna magorofa mengine ni udongo mtupu 😆😆 yani maisha ya mkenya hayana thamaniUwa sielewi kwann wakenya wanapenda ujenzi wa aina hii nyumba aina madirisha wala milango sasa sijui waingilia juu kama ndege
Mshakahola achana na NY na Paris zilizokua developed by 90% na 60% of their developed area is high rise buildings, nairobi ni vichaka na dwarf slums za mabati na salfeti 😂😂😂😂DAr is bigger than New York and Paris
Hahaha, because your country is on violence mode all time you don't get time to watch?.Sasa nani huwa anawatch hizi upuzi?
Mipira za afrika ni Very Amateur.
Ni kama.kuwatch under 16 za premier league.
Uwa sielewi kwann wakenya wanapenda ujenzi wa aina hii nyumba aina madirisha wala milango sasa sijui waingilia juu kama ndege