Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣 We ni fala .. Hii hapa ikulu ya US in their capital city 👇View attachment 2630462View attachment 2630463.. ni kama kile kibanda.? 🤣🤣
Wewe ndiye fala. Kuna tofauti ya office of the president and a statehouse (Official presidential residence) in this case White House.
Hata Kenya office of the president iko CBD. Inaitwa Harambee Annex
images (4) (21).jpeg


Unaona vile nyinyi hupenda kujiibisha
 
Wewe ni mjinga sana… hii ni US Congress ( Parliament Yao)…..inaitwa Capitol Hill coz iko capitol City Washington DC…. sio ikulu …. Ikulu ni the White House kama vile Kimbg alisema…I have been to DC … White House ni ndogo kuliko state house Nairobi….. sometimes size doesn’t matter but the prestige of the building…. I bet Nairobi State House carries more weight than that Chamwino Mosque…🤣🤣🤣🤣
Statehouse ya Tz ni kama Mosque huku Habaswein
20230521_190650.jpg
 
Tatizo mashakahola akili za kujiongeza ndio yamenyimwa, serikali yako inakudanganya imejenga kilometers 7000 ndani ya mwaka mmoja wakati barabara ya kwenda huko jehanamu kwenu ni tope tupu halafu bado inaamini, wanadanganywa wana watumiaji wa internet million 50 na yenyewe bila reasoning inakubali.

Watanzania sisi sometimes nasemaga tupo negative minded sana sababu improvement statistic yoyote kutoka serikalini wabongo huwa tunazipokeaga kwa maswali na shingoupande sana mpaka tujiridhishe vya kutosha ndio tuiamini, mashakahola sasa 😂😂😂 kama minyumbu
Mkuu wala usishangae kwa kunyan kuamini ni kweli wamejenga km 7000 kwa mwaka wakati si kweli,wanajua kabisa ni uongo ila ndie kutaka waonekane wao wako juu kwa kila eac ikiwa wao ndio wanaongoza kwa maisha duni ukanda huu,ukitaka kujua jamaa ni wehu tembelea kwenye mitandao mingine huko halafu ukute kitu cha TZ kizuri kuna mtu wa mataifa mengine anaulizia labda hii nyimbo kaimba nani utawakuta wakijua kabisa huu ni uongo ila watadanganya ni wa kutoka kunyaland na kubisha watabisha
 
You beat me to it…. Now you know why KDF is treading carefully against M23 …. As I said before, there are many National interest issues pertaining to Kenya, DRC and Rwanda……the only common thing is we all want peace and security but varied interests…..DRC is not our neighbor…. You don’t think we just packed our bags and troops and headed there because Kenya was threatened…. Definitely not…leave .Political economy and Foreign Policy alone… it’s way above your comprehension….🤣😂😂😂
nani kakuuliza?
 
The building looks great, but they need to hire a renowned landscape architect to transform the building’s surroundings.
Landscaping have been Africa's problem for generations. Sometimes I feel as if most Africans love the dusty environments hence they don't see a reason to care. Surprisingly,with millions of jobless and youths around,it should cost little pennies to have a better looking,well landscaped cities
 
Tutapoteza pesa nyingi Sana kuliko hizi. Wageni wote wanaotaka kuwekeza au kufanyakazi nchini wanalipa pesa nyingi Sana, kukiwa na "dual citizenship", hizo pesa hatutozipata, ni pesa nyingi sana.
Hapana, pesa itayopotea ni kidogo kuliko tutayopata. Faida mojawapo ya dual citizenship ni property ownership. Watanzania wengi wenye dual citizenship watawekeza kwenye majengo na kilimo ambapo kwa sasa hawawezi au tuseme kuna ugumu.
 
Back
Top Bottom