Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Last mile tarmacking of roads continues in Kenyan villages, estates, slums
20230520_193350.jpg
20230520_193347.jpg
20230520_193343.jpg
 
Hilo ndio jambo linaloshangaza kwa Uganda, wanataka kujenga SGR kwenda Malaba wakati Kenya imeshindwa kufikisha reli Yao Malaba.

Tuchukulie kwamba Kenya wataweza kufikisha hiyo reli Yao hadi Malaba, Uganda wanajenga reli ya umeme Kama Tanzania, "full automatic", Kenya ni diesel na train zao ni "manual", huo muingiliano upoje?.

Ninachokiona hapa ni Uganda wanataka kujichanganya, wao wangejenga reli kuelekea Rwanda Ili kuunganisha na reli ya Tanzania.
Unapojifanya rafiki na watu wa hulka ya Kagame wenye vested interest in eastern DRC ndo matokeo yake! Angalia muda JPM aliopoteza kujaribu kujenga reli kwenda Kigali! That's where the puzzle lies!

 
America walilemewa na cave men Afghanistan after 20 years. Vita sio unavyofikiria mdanganyika. Russia wametwanga Ukraine kabisa yani
You're comparing apples with mangoes, the USA one was not an invasion. Know the difference
 
Unapojifanya rafiki na watu wa hulka ya Kagame wenye vested interest in eastern DRC ndo matokeo yake! Angalia muda JPM aliopoteza kujaribu kujenga reli kwenda Kigali! That's where the puzzle lies!

Mkuu, kwanza hiyo habari ya Uganda kusaini na Yerp markezie Wala haina maana sana, muhimu ni kupatikana kwa pesa, sioni Uganda kupata hiyo pesa kwasababu hakuna muunganiko na Kenya.

Sababu zilizosababisha China kutoendelea kuwakopesha Kenya, ndio hizo hizo zitakazotumika kuinyima Uganda.

Kuhusu Rwanda kuchelewa ujenzi wake, hilo sio tatizo, muhimu ilikua ni kuwatoa Rwanda kutoka Northern corridor, jambo ambalo tumefanikiwa, hivi Sasa Rwanda imejiunga kwetu, hata wachelewe kujenga lakini tayari hawawezi tena kurudi Northern corridor. Uganda ndiyo nchi yenye shida kwa Sasa.
 
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa Ikulu mpya ya Chamwino Dodoma leo amesema baada ya kukamilika kwa Ikulu sasa wanatarajia kujenga jengo la kisasa (Samia Complex) ndani ya eneo hilo kubwa la Ikulu lenye Ekari 8473 na tayari michoro ipo tayari ambapo kwa sasa wanahangaika kutafuta fedha ili ujenzi uanze.

Rais Dkt. Samia amesema “Eneo hili bado kuna kazi ya kufanya na hatua inayofuata ni ujenzi wa jengo la kisasa ambalo Wasaidizi wangu wameliita Samia Complex ambalo litakuwa na ukumbi wa mikutano wa Watu Elfu mbili mpaka Elfu tatu, nyumba za Viongozi hasa Majirani zetu wa EAC na SADC kutakuwa na Zanzibar Lounge, East Africa Lounge, uwanja wa golf, viwanja vya michezo, njia za ndege na sehemu za historia za Viongozi wa Nchi zetu”
#MillardAyoUPDATESView attachment 2629683
Tukipata render yake itapendeza..

Au ni classified!?
 
Back
Top Bottom