Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



Reminds me of the following!


Where is Lamu pipeline?
 
Kama kulivyo na kaunda suit, hii inapaswa kuwa coined as a JPM badge, before him there's no such a thing

Screenshot_20230520-152032.jpg
 
Sitawahi sahau wakati nyinyi wadanyika mlikua washamba hapa jamii forums hadi mnaita apartments za Kenya kama Hizi eti ni "maboxi yanafanana kama dormitory" sasa mmechanuka mnayajenga kila mahali mkiyaita modern huko Dodoma
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nyinyi ni HYPOCRITES majimaji rebellion decedants. Jinga kabisa
Walikuwa ni watu wa Jiwe si unajua waliua sekta ya real estates wakawa wanatafuta visingizio 🤪🤪

Sasa hii ni Cha mtoto,Samia Housing is on stage soon itakuja kuwa outshine humu..

Pia Kuna mradi kama huu wa TBA pale Temeke
 


Reminds me of the following!


Where is Lamu pipeline?
Hawa watu wanapenda kudanganywa na viongozi wao, hawa ni Kama wasichana, usipowadanganya hamuendani, $15.3?.
 
wakati kuna jirani miaka 60 ya uhuru bado anakalia jengo la mkoloni pale Ikulu Nairobi likizungukwa na slum na huku bado anasakamwa na njaa, sisi tuko huku! Japokuwa ningependa design iwe tofauti ila bado ni hatua nzuri!









Kuna mzee huwa ni ngumu kumkwepa unapotaja Tz mpya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
A bag of 2kgs of sugar goes for Ksh 470, that is Tsh 8000, is this free market or free fall of the economy?
It is called market sitting on a capitalist middle finger.

Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako do not copy mifumo ya kiuchumi kiholela tuu even us we did not swim fully to the socialism system but we had our own home grown type socialism that was different from the rest.
 
Back
Top Bottom