Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkomazi NP 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

20230521_184402.jpg
20230521_184344.jpg
20230521_184411.jpg


 
Wenzetu wanaitaka kwa nguvu zote hii title ya kuwa EA's economic hub, kwahyo hata kwa kutengeneza number fake wao kwao freshi tu alimradi watajwe juu ya mataifa mengine ya East Africa 🤣🤣🤣
Tatizo mashakahola akili za kujiongeza ndio yamenyimwa, serikali yako inakudanganya imejenga kilometers 7000 ndani ya mwaka mmoja wakati barabara ya kwenda huko jehanamu kwenu ni tope tupu halafu bado inaamini, wanadanganywa wana watumiaji wa internet million 50 na yenyewe bila reasoning inakubali.

Watanzania sisi sometimes nasemaga tupo negative minded sana sababu improvement statistic yoyote kutoka serikalini wabongo huwa tunazipokeaga kwa maswali na shingoupande sana mpaka tujiridhishe vya kutosha ndio tuiamini, mashakahola sasa 😂😂😂 kama minyumbu
 
Tatizo mashakahola akili za kujiongeza ndio yamenyimwa, serikali yako inakudanganya imejenga kilometers 7000 ndani ya mwaka mmoja wakati barabara ya kwenda huko jehanamu kwenu ni tope tupu halafu bado inaamini, wanadanganywa wana watumiaji wa internet million 50 na yenyewe bila reasoning inakubali.

Watanzania sisi sometimes nasemaga tupo negative minded sana sababu improvement statistic yoyote kutoka serikalini wabongo huwa tunazipokeaga kwa maswali na shingoupande sana mpaka tujiridhishe vya kutosha ndio tuiamini, mashakahola sasa 😂😂😂 kama minyumbu
Invisible roads. 🤣🤣🤣
 
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa Ikulu mpya ya Chamwino Dodoma leo amesema baada ya kukamilika kwa Ikulu sasa wanatarajia kujenga jengo la kisasa (Samia Complex) ndani ya eneo hilo kubwa la Ikulu lenye Ekari 8473 na tayari michoro ipo tayari ambapo kwa sasa wanahangaika kutafuta fedha ili ujenzi uanze.

Rais Dkt. Samia amesema “Eneo hili bado kuna kazi ya kufanya na hatua inayofuata ni ujenzi wa jengo la kisasa ambalo Wasaidizi wangu wameliita Samia Complex ambalo litakuwa na ukumbi wa mikutano wa Watu Elfu mbili mpaka Elfu tatu, nyumba za Viongozi hasa Majirani zetu wa EAC na SADC kutakuwa na Zanzibar Lounge, East Africa Lounge, uwanja wa golf, viwanja vya michezo, njia za ndege na sehemu za historia za Viongozi wa Nchi zetu”
#MillardAyoUPDATESView attachment 2629683
Naomba msaada, umuhimu wa hii project hapo??
 
Wewe ndio hauna Elimu… Wapi nimésema Nairobi is bigger than Dar?… Dar the one you like to show ni kasehemu kadogo sana compared to Nairobi…. Lakini once you add the rest 80% ya Dar which is Uswaziland, then of course Dar ni Kubwa zaidi. …🤣🤣🤣🤣
DAr is bigger than New York and Paris
 
Sasa nani huwa anawatch hizi upuzi?
Mipira za afrika ni Very Amateur.
Ni kama.kuwatch under 16 za premier league.
Sisi tunaendelea kujitangaza tu, kilio chako hakituhusu, now ukiongelea soka unaiongelea Tz kwa hapa EA, huko CAF ni Simba na Yanga tu ndiyo zinajulikana kama mkombozi wa EA, bendera yetu inapepea na itazidi kupepea. Tumeanza na vilabu vya soka then national team inafuata, mpira hatujui ila tuna pesa za kufanya timu zetu ziwe vzr kama unavyoona kwa ss Yanga na Simba tunachukua mchezaji yeyote yule tunayemtaka ili aje kututengenezea timu mana sisi Watz mpira kwetu dini.
 
🤣🤣🤣 Unataka kutaja hiki kibanda chenu vs Tz state houses? 👇yours inakaa shule ya msingi 🤣🤣View attachment 2630222View attachment 2630217View attachment 2630219vs hii ikulu kubwa zaidi Afrika.? 👇DSMView attachment 2630228View attachment 2630230View attachment 2630232View attachment 2630234View attachment 2630240Dodoma 👇View attachment 2630244View attachment 2630251View attachment 2630253View attachment 2630257.. Tz ni balaa lingine mzee show up some respects
Who told you a statehouse need to be such uselessly big!?
Look at the White House in the US
20230521_180912.jpg
 
Back
Top Bottom