Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaha, mkuu Jana uliniambia niangalie teuzi za Magufuli, nikakuambia tupitie Baraza la mawaziri la Magufuli tuangalie idadi ya mawaziri wasukuma vs idadi ya wasukuma wote hapa nchini, Kisha tutafute uwiano tuone Kama kulikua na wasukuma wengi kuzidi kabila zingine, hujanijibu hadi Leo.

Hapa Tanzania, wasukuma wanaishi katika mikoa minne, Mwanza, Shinyanga, Geita na Simiyu. Tulinganishe uwekezaji uliofanyika Kigoma na Simiyu, au Shinyanga kwa kuangalia idadi ya watu enzi za Magufuli Kama Kuna tofauti.

Mkuu Wacha kujishusha kiasi hicho, hakuna ushahidi wowote unaoonyesha kwamba Magufuli alikua mkabila, ila wewe unaoonyesha chuki na chembechembe za ukab

Kwahiyo unataka kusema Magufuli hakuwa Mkabila? Tutajie kijiji kingine Tanzania kilicholazimishiwa $1 bln ya uwekezaji usio na tija kama Chato!
Hivi chato ni Kijiji au wilaya
 
Sama boy 255
that_mbeya_guy_1684304021285710.jpg
that_mbeya_guy_1684304021284225.jpg
 
How can you eat fish exposed to unhygienic conditions …afadhali chapo…[emoji1787][emoji1787][emoji1787] No wonder he’s dead….
We wa wapi mzee,samaki hao ni wabichi wanapelekwa nyumbani wanasafishwa n then wanapikwa/wanakaangwa ni tofauti na chapati zilizopikwa ambazo mtu anakula hapo hapo.

Magufuli alikuwa sokoni. Tofautisha hiyo.
 
I swear Kenya huwezi pata vitu ovyo namna hiyo… you might get a small area exposed by poverty lakini our towns are majority organized and well built … people live in dignity…hawa Bongo … I pity them… how do you live in a place that looks like shanty houses sitting on each other … no order… no roads…. It’s hell on earth… now I understand why they always find pictures of Kenya closest to them like Kibera….. it’s like therapy to them…[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
What dignity in mabati houses?? Mtu anaishi sehemu choo hana ukibanwa unatembea mita 500 kwenda kunya!
 
Back
Top Bottom