ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,431
- 85,268
Mkuu, naomba utofautishe kati ya "Tribalism vs Nepotism, hapo ndio unachanganya mambo. Unapowapa upendeleo jamaa zako wa karibu na majirani zako, hiyo ni "Nepotism".
Tribalism ni kuwapendelea watu wa kabila lako hata Kama hamfahamiani, sio marafiki Wala majirani zako. Kama unachukulia ujenzi wa Chato ni upendeleo, basi hiyo ni "Nepotism sio tribalism".

Hahahaha, mkuu Jana uliniambia niangalie teuzi za Magufuli, nikakuambia tupitie Baraza la mawaziri la Magufuli tuangalie idadi ya mawaziri wasukuma vs idadi ya wasukuma wote hapa nchini, Kisha tutafute uwiano tuone Kama kulikua na wasukuma wengi kuzidi kabila zingine, hujanijibu hadi Leo.soma kitabu nilichokupa! Wewe huwezi kunifundisha kitu mimi! Nakupa homework angalia miradi ya Sukumaland in total halafu linganisha na miradi ya Kigoma! Na uje uniambie mbona Kigoma haikupewa kipaumbele pia? Mbona Mara hakukupewa priority pia?
Nimekupata mkuuUnatwanga maji kwenye kinu kaka.
Watu wapo kazini, wanatumia kila aina ya uongo kupoteza legacy.
Naoana hata mradi wa ujenzi wa kiwanda cha cement mkoani Lindi kilichotakiwa kijengwe awamu ya nne kumbe awamu ya tano ndo wamepiga pesa!
Muda mwingine bora wa nepotism kwenye maendeleo kuliko anayepiga pesa za maendeleo.
Kabisa.. Level ya ligi ya mbuzi tu hiyo.Kaka tafadhali, huwezi fananisha ligi yetu ya wananwake hapa na uchafu wa Kenya.
Ligi ya wananwake Tanzania ni kubwa mmno! Watilia viruzi mwenyewe utaniambia.
Ligi ya mpira Kenya ni kama umitashumta huku Tanzania.
Ukisoma kwa umakini maandishi ya jamaa unaona kabisa yupo kazini wala si kwamba hajui ukweli.Unatwanga maji kwenye kinu kaka.
Watu wapo kazini, wanatumia kila aina ya uongo kupoteza legacy.
Naoana hata mradi wa ujenzi wa kiwanda cha cement mkoani Lindi kilichotakiwa kijengwe awamu ya nne kumbe awamu ya tano ndo wamepiga pesa!
Muda mwingine bora wa nepotism kwenye maendeleo kuliko anayepiga pesa za maendeleo.
Before i got registered myself in in Jamii forums, I have been following this thread only. Ilikua inasisimua sana kwa namna gani watanzania wenzangu walikua wakitetea na kuonesha uhalisia wa nchi yetu, hilo lilinifumbua macho hadi mimi. Nilikua navitiwa sana na GEZA ULOLE on how he used to bring facts creat arguments vilevile kwa namna ambayo alikua akimdeffend hadi Magufuli.POLEPOLE NI NANI
Polepole ni msomi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kwa mujibu wa maelezo yake anasema alitua Dar es Salaam mwaka 1988 akitokea Tabora. Alisoma shule ya msingi Mbuyuni na kuendelea Shule ya Sekondari Azania, Benjamini Mkapa kisha akajiunga na elimu ya juu huko Arusha na baadaye UDSM.
![]()
Humphrey Polepole: Kutoka Ndoto ya Urubani Hadi Mbunge - Global Publishers
HUMPHREY Polepole si jina geni miongoni mwa Watanzania ambao asilimia kubwa vijana ambao wanatamani pia kuwa kama yeye. Ni...globalpublishers.co.tz
MY TAKE
Ni Mtu wa kanda ilee angalia jina la Marehemu babake!
![]()
BABA YAKE HUMPHREY POLEPOLE AZIKWA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM
ccmchama.blogspot.com
Kwavile ni Wabinafsi mkiongozwa na mwendazake!Before i got registered myself in in Jamii forums, I have been following this thread only. Ilikua inasisimua sana kwa namna gani watanzania wenzangu walikua wakitetea na kuonesha uhalisia wa nchi yetu, hilo lilinifumbua macho hadi mimi. Nilikua navitiwa sana na GEZA ULOLE on how he used to bring facts creat arguments vilevile kwa namna ambayo alikua akimdeffend hadi Magufuli.
Kwani ni nani asiyejua kuwa yote haya tunayoringia watanzania humu ni juhudi zake na fikra zake wala hata hatumtukuzi ni ukweli usiopingika hata Kenyans wa humu wajua hilo Magufuli ndio kaanzisha hayo yote yeye ndio kabadilisha mifumo ya kiuingozi kiasi cha kwamba yeye amekuawa kipimo cha utendaji kwa viongozi wa sasa. Ni ukweli usiopingika kuwa kila binadamu anamapungufu na vivohivyo na Magufuli alikua na mapungufu yake kwani yeye ni Mungu au malaika??? Ila mapungufu ya JPM hayakuzidi wema na utendaji wake kikazi na kiuongozi. Na kwanini hayo yote mje kuyaona sasa?? Magufuli alikua kiongozi bora na wa mfano hapa EAC. Hata mama alisema viatu vya JPM havimtoshi
Jambo lingine, kwanini wewe GEZAULOLE unang'ang'ania na kulazimisha tena kwa kusisitiza kila siku juu ya Sukuma gang mbona mnataka kuleta mambo ya kikabila humu? na kwenye hili taifa? Ona sasa unavyohangaika na Polepole hadi unatafuta jina la baba yake!!! Yaani unafosifosi mambo najua mtaniita sukuma ganga lakini mtajua wenyewe hamna facts za kuweza kumchafua JPM na kufuta umuhimu wake kwetu sisi Watanzania kashindwa Mange huko na wenzake. Msifieni Mama lakini msimsifie mama kwa kumchafua JPM huo ni ujinga
Nyie ni wanasiasa mufilisi (kama Nyerere alivyosema). Mmetumwa mitandaoni kusambaza uongo kwamba wote wanaompenda Magufuli ni Wasukuma au kanda ya ziwa.nikuulize agenda ya wakina Polepole na wenzie ni nini hasa? Mbona movement yao inaendeshwa kanda ya ziwa tu?
Mkuu, karibu Sana jamvini, nimeangalia account yako, umeweka posts mbili tu na umepokea "like" Moja ambayo imetoka kwangu. Karibu sana mkuu.Before i got registered myself in in Jamii forums, I have been following this thread only. Ilikua inasisimua sana kwa namna gani watanzania wenzangu walikua wakitetea na kuonesha uhalisia wa nchi yetu, hilo lilinifumbua macho hadi mimi. Nilikua navitiwa sana na GEZA ULOLE on how he used to bring facts creat arguments vilevile kwa namna ambayo alikua akimdeffend hadi Magufuli.
Kwani ni nani asiyejua kuwa yote haya tunayoringia watanzania humu ni juhudi zake na fikra zake wala hata hatumtukuzi ni ukweli usiopingika hata Kenyans wa humu wajua hilo Magufuli ndio kaanzisha hayo yote yeye ndio kabadilisha mifumo ya kiuingozi kiasi cha kwamba yeye amekuawa kipimo cha utendaji kwa viongozi wa sasa. Ni ukweli usiopingika kuwa kila binadamu anamapungufu na vivohivyo na Magufuli alikua na mapungufu yake kwani yeye ni Mungu au malaika??? Ila mapungufu ya JPM hayakuzidi wema na utendaji wake kikazi na kiuongozi. Na kwanini hayo yote mje kuyaona sasa?? Magufuli alikua kiongozi bora na wa mfano hapa EAC. Hata mama alisema viatu vya JPM havimtoshi
Jambo lingine, kwanini wewe GEZAULOLE unang'ang'ania na kulazimisha tena kwa kusisitiza kila siku juu ya Sukuma gang mbona mnataka kuleta mambo ya kikabila humu? na kwenye hili taifa? Ona sasa unavyohangaika na Polepole hadi unatafuta jina la baba yake!!! Yaani unafosifosi mambo najua mtaniita sukuma ganga lakini mtajua wenyewe hamna facts za kuweza kumchafua JPM na kufuta umuhimu wake kwetu sisi Watanzania kashindwa Mange huko na wenzake. Msifieni Mama lakini msimsifie mama kwa kumchafua JPM huo ni ujinga
Ni haki yako kama haki yangu ya kueleza ukabila wake!Nyie ni wanasiasa mufilisi (kama Nyerere alivyosema). Mmetumwa mitandaoni kusambaza uongo kwamba wote wanaompenda Magufuli ni Wasukuma au kanda ya ziwa.
Mimi huniambii kitu mbele ya Magufuli na ni Mchagga pure. Msitake kutuharibia nchi yetu kisa mnamchukia Magufuli kwa kuwabana na kuwakomesha mafisadi na vibaraka wa mabeberu.
Mmemsingizia vyote vibaya alivyokuwa hai (anaua dikteta nk) lakini Watz si wajinga kama mlivyodhani hawakuwasikiliza uongo wenu. Mmeamua kuongezea uongo wa Ukabila na mtaendelea kushindwa!
It's also my right to call you out on the blatant lies you say on this forum. Do not ruin our country cause of your selfish agendas.Ni haki yako kama haki yangu ya kueleza ukabila wake!
Ukisoma kwa umakini maandishi ya jamaa unaona kabisa yupo kazini wala si kwamba hajui ukweli.