Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Upperhill Nairobi
Screenshot_2023-05-16-18-22-21-39_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg

Screenshot_2023-05-16-18-22-38-81_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg
Screenshot_2023-05-16-18-22-45-12_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg
Screenshot_2023-05-16-18-22-49-43_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg
Screenshot_2023-05-16-18-22-46-45_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg
 
Wadanganyika hawawezi protest juu ya gharama ya kodi sababu ya uoga ata heri wafunge maduka waende hasara. Wanaume wanaogopa CCM polisi maumbwa nkt! kazi ni kutukana wakenya hapa jamii forums sababu hawawezi pigwa ngumi ya meno nyuma ya keyboard. Ihiii!
Washa tire matikati ya mwendokasi
Screenshot_20230517_160629_com.facebook.lite.jpg
 
Kujikombakomba tu kwa watu..
hamuwezi kufanya kazi nchini kwenu?
Wako wengi kuliko shughuli za kufanya idle nguvukazi ni nyingi na wanasiasa wao wamekuwa wakiwaombea kazi nje kiunjanja ujanja bila kukwaweka wazi wakenya kuwa GDP waliyokuwa wanawadanganya nayo imeshajifia kitambo.
 
Hivi mbona hawa wanasiasa wa Kundustan wanahamasisha sana wakundustan kuikimbia nchi yao?
Siku kadhaa huko nyuma Rais Ruto (Mr Loot-All) huko korea ya kusini aliwaawahakikishia wakundustan more jobs in Korea , na sasa mwingine huyu tena . Hii nchi ni Typical Failed State. Kwanini wanawafukuza wananchi wao waende nchi za watu wengine ?
Halafu watakuambia wapo kidogo 😅😅😅 wakundustan wapo zaidi ya million 65, haiwezekani nchi ya watu million 57 wakate tamaa ya maisha hivi
 
Wadanganyika hawawezi protest juu ya gharama ya kodi sababu ya uoga ata heri wafunge maduka waende hasara. Wanaume wanaogopa CCM polisi maumbwa nkt! kazi ni kutukana wakenya hapa jamii forums sababu hawawezi pigwa ngumi ya meno nyuma ya keyboard. Ihiii!
Washa tire matikati ya mwendokasi
View attachment 2625287
Jifunzeni siasa za kistaarabu kutoka kwetu, ingekuwa ni ninyi hivi Sasa tayari maduka yamechomwa moto na gari zimevunywa vioo na watu wamepigwa risasi, lini mtastaarabika ninyi wanyama?
 
Back
Top Bottom