mwathadan
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 3,517
- 5,124
Hakuna mradi wowote unaendelea kenya, happy?Kenya ni taifa lililofeli, ukiachana na vi apartment ni mradi Gani wa maana unaendelea.?
Hakuna mradi wowote unaendelea kenya, happy?Kenya ni taifa lililofeli, ukiachana na vi apartment ni mradi Gani wa maana unaendelea.?
Malnutrition sio njaa, wewe ulifika shule kweli?Tanzania nchi ya maziwa na ásali… hakuna njaa… blah blah blah…..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna mradi wowote unaendelea kenya, happy?
Did you fix this one yet?… ni karibu na Dar
Usijotea ufahamu..muwe mnaweka vitu vipya bhana, kila siku mnapost picha za eneo hilohilo tuHakuna mradi wowote unaendelea kenya, happy?
Gorofa zenyew zina sura mbaya
Wakati nyinyi mnaona faraja kwa kuwapea wachina kazi zote na kuimport fully built buses, tazama hatua zimepigwa na kenyan local assemblers and fabricatorsTANZANIA BUS.
View attachment 2624214
VS
KUNYANI KENYA..
View attachment 2624215
NIMESIMAMA PALE NA GDP YANGU NASUBIRI UGALI GITHERI [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji13][emoji14][emoji16]
Hapa tulipoteza mtu Watz, kama ni kweli kuna mkono wa mtu basi walituweza kweli kweli, tumuandae Bashe naona naye ana chembechembe za kuwa hivi.Kwa wale wapuuzi wankudai mjomba alipendelea kwao wasikie hii [emoji116]. Geza Ulole njoo uone mwamba hata kabla ya uraisi wake alikua ni mtu wa kunyoosha tu .
[emoji3][emoji23][emoji1787][emoji1787]Kuna mtu umu ndani namwenzie wanawashwa sana
ahahahhahahaah unawashwa tako ety iyo ni BONGO propertiesWakati nyinyi mnaona faraja kwa kuwapea wachina kazi zote na kuimport fully built buses, tazama hatua zimepigwa na kenyan local assemblers and fabricators
View attachment 2624698
Kazi yao kupost naikoroboi yao na ayo MAMINALA[emoji3][emoji23][emoji1787][emoji1787]
kabisa mkuu badala ya kwenda kuanzisha uzi wao huko wanakuja kutu changanyia habari hapa ...nafkiri wanajijua ...yaani wanapeana vitasa vya kufa mtu .......eti mkoa kaskazin vs mkoa kusini.....
[emoji23][emoji1787]
hao wapuuzi wanakula tu chochote washibe, ndio maana uzuri ni adimu sana Kenya.Malnutrition sio njaa, wewe ulifika shule kweli?
R failing? ? Mbona hao watoto wa shule wako healthy? Tukuetee malnutrition wa Kunyalans uone vile wanakaa?Tanzania nchi ya maziwa na ásali… hakuna njaa… blah blah blah…..😂😂😂😂😂😂
Kwa wale wapuuzi wankudai mjomba alipendelea kwao wasikie hii 👇. Geza Ulole njoo uone mwamba hata kabla ya uraisi wake alikua ni mtu wa kunyoosha tu .
Mradi naojua mimi ni wa Mtanzania Rostam!Hakuna mradi wowote unaendelea kenya, happy?